Please Tusaidieni Mimi na Mke wangu tunaumwa fangus kwenye nyeti kwa muda mrefu bila kupata

Asante sana mkuu
Mkuu tumia neno Pumbu badala ya korodani, ila pole sana.
Anza kula matunda mengi sana pamoja na alkaline drinks ili ufanye mazingira ya ndani yasiwe na mvuto kwa fungus, paka sana ile white field daily hata mwaka mzima, utajishangaa umepona, osha pumbu zako kila siku kwa bicarbonate of soda, au kwa jina sodium bicarbonate, wakina mama hupenda sana kupikia maandazi na keki

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi huu ugonjwa umenisumbua mimi tangu 2011 nimefanya jitihada zote za matibabu lakini nikitumia cream ndio naongeza tatizo la hili balaa nilichoamua ni kuacha kutumia dawa kabisa, na kuzingatia usafi wa hari ya juu yaan naogea sabuni ya jamaa na kujikausha vzuri angalau sahivi niko vizuri sana kama ikitokea muwasho basi ujue kumeingia unyevu kwenye korodani cha kufanya acha kutumia medicated soap za aina zote, husiweke kitu chenye kuleta unyevu sehem za siri oga kutwa mara tatu na jikaushe vizuri utaona mabadiriko makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza pole sana miaka mitatu si mchezo ushauri wangu nenda kwanza hospitali wajue ni aina gani ya fungus ulio nao ndo wakupe dawa kulingana na aina ya fungus

Nimeona umesema umekunywa dawa nyingi sana aina tofauti . Ukinywa dawa nyingi hua inashusha immunity (Kinga) ya mwili ndipo fungus hurudia tena kukushambulia.

Pia kachukue vipimo vya damu ujue kama umeadhirika maana cases nyingi za relapse fungal infection hutokea kwa watu ambao ni immunocompromised . Na matibabu yake hua tofauti .
Ili kuongeza kinga ya mwili uwe unakunywa dawa na matunda yenye vitamin C au supplements.

Shukrani sana mkuu.

Hilo la hospital nitakwenda wanipime halina ubishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari,
Mimi ni mgeni hapa JF. Ni mgeni maana nimefungua account leo. Ila nimekua nikisoma na kufuatilia mjadala mbali mbali ya afya humu ndani kwa miaka mitatu ila sikua nachangia.
Nina umri wa miaka 30 na mke wangu ana miaka 27.
Mwaka 2016 mwezi wa nne, nilisafiri kikazi kwenda huko Dar es Salaam. Niliagizwa kwa project ya kama mwezi mmoja hivi na ofisi. Ni mwaka huo huo ndipo nilikua nimeoa. Nilipokaa wiki mbili tu, nilianza kuwashwa na korodani
Nikaenda hospital nikapewa Cream nikapaka ikapoa.. Baada ya muda ikarudi, nikaenda tena hospital na kupewa aina nyingine ya cream na pills. Nikatumia ikaacha na ndipo niliporud nyumbani Tanga alipokua wife.
Baada ya siku tatu tu, muwasho ukarudi tena, na nikawa nimemwambukiza na wife.

Ndugu suluhu ya tatizo lako ulipata?
 
kabla ya kutumia hizo dawa zote muachane kwanza na uzazi wa mpango mtapona vizuri kabisa
 
Wakuu habari,

Mimi ni mgeni hapa JF. Ni mgeni maana nimefungua account leo. Ila nimekua nikisoma na kufuatilia mjadala mbali mbali ya afya humu ndani kwa miaka mitatu ila sikua nachangia.

Nina umri wa miaka 30 na mke wangu ana miaka 27.

Mwaka 2016 mwezi wa nne, nilisafiri kikazi kwenda huko Dar es Salaam. Niliagizwa kwa project ya kama mwezi mmoja hivi na ofisi. Ni mwaka huo huo ndipo nilikua nimeoa. Nilipokaa wiki mbili tu, nilianza kuwashwa na korodani

Nikaenda hospital nikapewa Cream nikapaka ikapoa.. Baada ya muda ikarudi, nikaenda tena hospital na kupewa aina nyingine ya cream na pills. Nikatumia ikaacha na ndipo niliporud nyumbani Tanga alipokua wife.

Baada ya siku tatu tu, muwasho ukarudi tena, na nikawa nimemwambukiza na wife. Tukaanza kupambana kuutibu, kila tukitumia dawa, inapoa tu na inarudi baada ya muda.

Tukahamia dar, na nikapanga na wife tuende kwa doctor wa ngozi (dermatologist) kairuki hospital. Tukahudhuria clinic ya magonjwa ya ngozi kwa takribani miezi miwili bila mafanikio. Tukahamia kwa doctor wa ngozi muhimbili pia kwa muda mrefu bila kupata kupona.

Madaktari wote hawa walikua dawa kubwa wanayotuandikia ni Vidonge na cream.

Tumetumia aina nyingi sana ya cream bila ya mafanikio. Tumetumia dozi ya pills ya mwezi mwezi nyingi sana bila mafanikio.

Yaani dawa tulizotumia ni nyingi sana na nyingine nimezisahau.

Baadae nikaamua kufuatilia ushauri niliokua nausoma huku JF kwa kutumia natural remedies kutibu ugonjwa. Tumetumia vitunguu saumu, ndimu, limao, tea tree oil, Apple cinder vinegar, coconut oil, vitunguu maji, tangawizi, asali nk bila mafanikio. Yote hayo niliyasoma hapa JF

Kuna doctor humu anaitwa MziziMkavu. Niliona alipost comments kwenye moja ya thread kuwa anaweza kutibu hili tatizo. Akasema anaehitaji msaada amtafute Facebook. Nilifanya jitihada za kutaka kumpata huko Facebook na nikamtafuta inbox hakunijibu.

Tafadhali wakuu, ninaomba sana sana, kama kuna mtu anafahamu namna ya kulitibu hili tatizo permanently atusaidie. Tunapata shida sana, hata tendo la ndoa hatulifurahii. Tumetumia pia gharama kubwa bila mafanikio.

Msaada wako utatupa furaha na confortability ktk ndoa yetu.

Tunaomba sana... Tatizo hili linaelekea mwaka wa tatu sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mkuu,huenda kuna mmoja anaacha njia kuu ndyo maana magonjwa hayaishi!
 
Back
Top Bottom