Kamwe usitamani kuja jiji la Dar es Salaam.!

Mambo yatakuwa mazuri leo nimeona taarifa kuwa wafaransa wametoa bilion 11 kuendeleza Mwemdokasi .Tuombe Mungu tu zitume kama zilitolowe kwa lengo hilo naamini tatizo la usafiri litapungua tu
 
Huu uzi umenikumbusha viongozi wetu, ambao kila kukicha kwenye majukwaa wanakazana kusema "VIJANA MSOME KWA AJILI YA KUJIAJIRI, MSIPENDE KUAJIRIWA..."
Na hali wao wameajiriwa!!!!
😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Habari zenu wadau.

Moja kwa moja twende kwenye mada husika. Nakusihii na kukushauri ewe uliepo huko mikoani usitamani wala kufikiria kuja Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam kwa sasa limekuwa na kero nyingi sana zinazo fanya kuonekana kuwa chungu kwa wananchi.

Kero ziko nyingi ila binafsi ningependa kuzungumzia kero ya usafiri. Usafiri umekuwa ni shida sana katika jiji hili iwe asubuhi, mchana na jioni ndio tabu kweli kweli. Usafiri umekuwa shida sana kiasi kwamba ukienda katika vituo vya daladala kama vile Mbagala, Kariakoo, Banana, mawasiliano nakadhalika wananchi wamekuwa wakigombea usafiri.

Hii ni kero kubwa sana hasa kwa ndugu zetu walemavu, wazee wasiojiweza, wajawazito pamoja na mama wenye watoto wachanga. Kero hii pia imewaathiri kwa kiwango kikubwa wanafunzi, kundi hili limekuwa likichelewa kufika kwa wakati katika maeneo yao kero kubwa ikiwa ni usafiri.

Kwa hiyo kama unakuja Dar es Salaam ujue kuna kadhia ya usafiri.
Toto la mama nyau wewe.
Kaa nyumbani shemeji atatafuta ataleta wewe utakula na dada.

Umeelew dogo?😂😂
 
Habari zenu wadau.

Moja kwa moja twende kwenye mada husika. Nakusihii na kukushauri ewe uliepo huko mikoani usitamani wala kufikiria kuja Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam kwa sasa limekuwa na kero nyingi sana zinazo fanya kuonekana kuwa chungu kwa wananchi.

Kero ziko nyingi ila binafsi ningependa kuzungumzia kero ya usafiri. Usafiri umekuwa ni shida sana katika jiji hili iwe asubuhi, mchana na jioni ndio tabu kweli kweli. Usafiri umekuwa shida sana kiasi kwamba ukienda katika vituo vya daladala kama vile Mbagala, Kariakoo, Banana, mawasiliano nakadhalika wananchi wamekuwa wakigombea usafiri.

Hii ni kero kubwa sana hasa kwa ndugu zetu walemavu, wazee wasiojiweza, wajawazito pamoja na mama wenye watoto wachanga. Kero hii pia imewaathiri kwa kiwango kikubwa wanafunzi, kundi hili limekuwa likichelewa kufika kwa wakati katika maeneo yao kero kubwa ikiwa ni usafiri.

Kwa hiyo kama unakuja Dar es Salaam ujue kuna kadhia ya usafiri.
Kuna treni mbili za mjini ya Pugu na ya Ubungo zinaanzia pale stesheni ya Kamata Gerezani tena ya Pugu huwa ni ndefu sana inakuwaga na mabehewa hadi 20 hii ya Ubungo kidogo ni fupi maana mara nyingi ina mabehewa 6 na huwa haijai

Na kwenye hii ya Pugu watu wanaojaaga wengi ni wa Gongo La Mboto lakini cha kushangaza daladala za kutoka Gongo la Mboto bado zinajaa sijui ni kwamba watu hawataki kuzipanda sijui ni ubahili tu maana hizi treni zingekuwa zinajaa angalau tatizo la kugombea daladala lingepungua

Na nimeongelea sana kwa watu wa Gongo La Mboto kwa sababu kwa sasa sehemu inayoongoza kwa kuwa na watu wengi Dar ni Gongo La Mboto na maeneo yaliyo karibu na hayo

Pamoja na Mbagala (ambapo madaladala makubwa yale ya Eicher ndo yapo mengi) na Mbezi ya Kimara (ambapo kuna mwendokasi) na bado huo usafiri unajaa ila sehemu nyingi zilizobaki sidhani kama daladala huwa zinajaa sana kama za hizo sehemu nilizozitaja hapo juu
 
Hata wenye ma range rover wasije?
BTW Jiji lina raha zake lazima tuje. Nimefika pale mlimani city nikakuta michezo ya watoto kama yote. Lazima nilete vitoto vyangu vibembee hapo
Wachina bhanaa wamefunga wee zile bembea usiku na mchana,alaf walivomaliza wakaanza kutest mitambo wao wenyewe
 
Habari zenu wadau.

Moja kwa moja twende kwenye mada husika. Nakusihii na kukushauri ewe uliepo huko mikoani usitamani wala kufikiria kuja Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam kwa sasa limekuwa na kero nyingi sana zinazo fanya kuonekana kuwa chungu kwa wananchi.

Kero ziko nyingi ila binafsi ningependa kuzungumzia kero ya usafiri. Usafiri umekuwa ni shida sana katika jiji hili iwe asubuhi, mchana na jioni ndio tabu kweli kweli. Usafiri umekuwa shida sana kiasi kwamba ukienda katika vituo vya daladala kama vile Mbagala, Kariakoo, Banana, mawasiliano nakadhalika wananchi wamekuwa wakigombea usafiri.

Hii ni kero kubwa sana hasa kwa ndugu zetu walemavu, wazee wasiojiweza, wajawazito pamoja na mama wenye watoto wachanga. Kero hii pia imewaathiri kwa kiwango kikubwa wanafunzi, kundi hili limekuwa likichelewa kufika kwa wakati katika maeneo yao kero kubwa ikiwa ni usafiri.

Kwa hiyo kama unakuja Dar es Salaam ujue kuna kadhia ya usafiri.
Ni mtazamo wako tu, Hakuna sehemu nzuri yenye raha Ya kuishi Kama dar, Sema wewe umezoea ukifika dar unaenda kuishi mbagara, kivure, ukonga, na kwingneko kwenye sehemu ovyo ovyo kutokana na uwezo wako Lakini nikuambie kuwa Hakuna mahali Salama pa kuishi Kama dar, Hakuna sehemu yenye ulinzi Kama dar, Hakuna sehemu yenye starehe Kama dar, kila utakachokitafuta dar kipo tena Kwa beii Ya kutupwa mikoani kufuatiliana hadi kero dar ni sehemu nzuri mno ni jiji la mastarehe Ndugu hayo mengne Ya foleni uchafu basi kakae huko Kijijini kwenu kusiko kuwa na foleni uwe unallala saa moja unasindikizwa na milio Ya nyoka na ndege sisi tuachie tule raha
 
Hahaha mweleze huyo
 
Back
Top Bottom