Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

Madam vivian original

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Messages
407
Points
1,000

Madam vivian original

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2018
407 1,000
Hbr za w,keend wakuu

Najiuliza ni kwann wanawake wasomi hawaolewi, mfano: madoctor wakike, mahakimu wakike, wanasheria na hata walimu wengi was secondary hawaolewi shida nn hasa jaman

Nina marafiki zangu, na Dada zangu kadhaa ambao wamesoma lakin hawajaolewa na wanataman wapate waume wa kuwaoa

1) Huyu wa kwa kwanza ni muheshiwa hakimu anaheshimika sna ni jiran angu na best angu, hana mume ila ana mtoto na amezaa na mume wa MTU, nikamuuliza my kulikon unaishi na mume wa MTU anasema ntafanyaje sasa, wanaume wa kututongoza hakuna wengi wao wanatuogopa wanadhan tumeolewa akaniambia pale oficn waheshiwa wote hawajaolewa ni masingle mother tukacheka yakaisha hayo

2) Huyu mwingine ni doctor wangu specialist kabisaa wa mambo ya wanawake lakin hajaolewa amenunua Pete ya ndoa ameivaa utadhan kaolewa kumbe hajaolewa, ktk story story anasema hajaolewa na ana watoto wake wawili kamaliza, anakula maisha kinikamuuliza VP haumiss kuwa na familia anasema nataman hata kesho lakin tunaogopeka wanatuona high class.

Hao ni baadhi tu ambao nawafaham, ninakutana nao kwenye vikoba na kanisan ni wengi na wanamaisha mazuri najiuliza shida ni nn mbona warembo na wanaonekana wife material kakazangu mnakwama wapi,

Kwakweli namshukuru Mungu niliolewa cjui namm ningekua kwenye hz stress.

Shida nn wanawake wasomi hawaolewi wanaishia kuwa single mother's. Wapo wengi humu tujadili tuweze kuwasaidia Dada zetu wanakwama wapi.
 

The iron batterfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Messages
1,902
Points
2,000

The iron batterfly

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2018
1,902 2,000
Kwa hiyo hao wanaume watawajua wanawake gani? Wake za watu au?
Machangu Kona baa na kwa wahaya
Kuna mdau aliwahi leta uzi wa wanaume kutafuta experience ya ngono kwa makahaba,then umri ukienda ndo wanafanya maamuzi kuoa
Inatia kinyaa binti kajitunza huko ni bikra halafu anakuja olewa na mteja wa kudumu wa makahaba agrrrrhhhh
 

Ndesalee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Messages
1,036
Points
1,250

Ndesalee

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2014
1,036 1,250
Wanawake waliosoma soma na wenye kazi nzuri huwa ni "much know" sana. Hilo ndio linalowaponza kutoolewa. Hujifanya kutaka haki sawa 50/50 ndani ya nyumba.
 

Sally Salya

Member
Joined
Feb 7, 2019
Messages
38
Points
95

Sally Salya

Member
Joined Feb 7, 2019
38 95
Wanawake waliosoma soma na wenye kazi nzuri huwa ni "much know" sana. Hilo ndio linalowaponza kutoolewa. Hujifanya kutaka haki sawa 50/50 ndani ya nyumba.
Shaur yao wasipo jirekebisha na kurudi kwenye msingi aliouweke muumba wataishia kutumika kama viti vya kukodishwa kwenye masherehe * sherehe & harusi zikiisha wanarudi stoo kupigwa vumbi .
GWALA KWAO PIA !
 

PETER PIERE

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Messages
273
Points
500

PETER PIERE

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2013
273 500
Wanawake waliosoma wanaponzwa na
1. Ujuaji
2. Kiburi
3. Dharau
4. Ujeuri

Kiufupi hawaoleki, na ukiwaoa watakusumbua sana mpk utajuta.. Inaaminika kuwa kadri mwanamke anavyoongezeka elimu ndvyo anavyozid kuwa mjinga.. Na anapoteza sifa kabisa ya kuwa mke... WACHACHE SANA HASA WALE WALIOLELEWA KTK MISING MIZURI YA DINI NDYO HUOLEWA NA KUDUMU, KWA SABABU WAMEWEKA MBELE MISING YA ELIMU YA DINI KULIKO MISING YA ELIMU YA DUNIA..
 

Prisoner of hope

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
2,452
Points
2,000

Prisoner of hope

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
2,452 2,000
Well said.
Wanawake waliosoma wanaponzwa na
1. Ujuaji
2. Kiburi
3. Dharau
4. Ujeuri

Kiufupi hawaoleki, na ukiwaoa watakusumbua sana mpk utajuta.. Inaaminika kuwa kadri mwanamke anavyoongezeka elimu ndvyo anavyozid kuwa mjinga.. Na anapoteza sifa kabisa ya kuwa mke... WACHACHE SANA HASA WALE WALIOLELEWA KTK MISING MIZURI YA DINI NDYO HUOLEWA NA KUDUMU, KWA SABABU WAMEWEKA MBELE MISING YA ELIMU YA DINI KULIKO MISING YA ELIMU YA DUNIA..
 

Prisoner of hope

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
2,452
Points
2,000

Prisoner of hope

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
2,452 2,000
Hawa viumbe ni shida tupu!
Ukisoma huu uzi, utagundua kwanini wanawake wasomi asilimia kubwa hawaoleki, uzi umejaa ushndani wa mwanaume vs mwanamke.. Imagine ushndani huu ndo uhamie ndani ya nyumba, si itakuwa balaa, kwa hyo wanawake wasomi wakiwa kwenye wanashndana na waume zao.. Yan ful ujuaj
 

Forum statistics

Threads 1,364,013
Members 520,629
Posts 33,303,721
Top