Recent content by salinzela

  1. salinzela

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Hiyo teknolojia haiitwi hivyo. Intaloking no dizaini katika matofari. Teknoloji inaitwa SSB. Yaani soil stabilized bricks. Ipo DSM nenda veta.tba au udsm pale injiniaring watakupa kitu sahiho
  2. salinzela

    Ninahitaji nafasi ya kufanya 'Internship'. Nimesoma Bsc In Telecommunication CCNA(R&S) Certificate

    Asikuzingue, siku hizi dunia nzima kuna volunteering kwa wasomi wapya na hawalipwi. Sisi tu hapa ndio tumechelewa
  3. salinzela

    Nahitaji Kujiunga na upadre

    Ni rahisi tu, ongea na viongozi wa jumuia yako, watakupa kila msaada ili ufike wito wako. Ila jiandae kukaa mwaka mmoja wa majaribio kisha miaka minne kusoma filosofia, alafu miaka mitatu kusoma teolojia. Ukimaliza hapo utaongeza mwaka mmoja wa ushemasi.
  4. salinzela

    Kumbe talaka ni chache hivi....?!

    Mtu asikudanganye dada, mi nimetoa moja juzijuzi tu, hivi hapa nasubiria cheti cha RITA nianze kutafuta mchumba mwingine
  5. salinzela

    Wakili Msomi Wasonga ana haki ya kwenda Mahakamani lakini kwanini iwe sasa?

    Hukusikia kuwa amepitishwa kugombea? Anakolifai ndiomaana amepitishwa isipokuwa kuna watu wasiohusika na chama ndio wanaopinga
  6. salinzela

    Wanawake waliosoma Sheria (Law) ndio wanaoongoza kuwa 'single mothers' Tanzania

    Nikonekti mmoja man, natamani kuoa lawyer. Mi journalism
  7. salinzela

    Walokole wengi nuksi sana

    Mi ndoa yangu imeshavunjika kwa sababu ya ulokole
  8. salinzela

    CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

    Makufuli alitangaza hadharani kuchukua logo hiyo!
  9. salinzela

    Kwako kuna kura ngapi za Lowassa na UKAWA?

    Hahahahaaa! Na Mimi naikopi hiyo Mkuu!
  10. salinzela

    Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

    Mkuu umenena vizuri sana!
  11. salinzela

    Hivi ni kwa nini UKAWA wanaogopa Lowasa Kushiriki midahalo?

    Hivi toka lini mgombea uraisi akafanya mdaharo na makada waliokatwa kugombea uraisi?! Kama vipi mleteni Makufuri wenu muone!
Back
Top Bottom