Katiba sio msahafu kwamba utakuingiza mbinguni/peponiR.I.P Mzee Sitta,umekufa na KATIBA YA WANA WA NCHI.utuombee huko uendako tupate Katiba nyingine
Sijui itatumika mbinu gani kumnyima nafasi ya kuongea!JPM sijui atatoka vipi kwenye msiba huu kuhusu idadi ya wake na watoto wa marehemu.
Plz mkuu naeka oda naomba niwe wa kwanza kureplyKwa comment nilizosoma humu jamvini najiuliza tu kuhusu Jecha!