CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

Baada ya maelezo yooote yale, wewe bado kichwa kinawaza uji. Haya sasa kachukue ile nembo ya Polisi uandike maneno yako chini kisha uprint kwenye mafulana uvae na familia yako, ndio utaelewa kuwa kiswahili kinaweza kumsumbua Mzaramo

Hahahahah umenifurahisha sana na hayo majibu
 
Kumbe Wapumbavu na Malofa wa CHADEMA wanaweza kuwa na UBUNIFU wa kuigwa na werevu na matajiri WA CCM?
 
Kamamda Mbowe alisema katibu mwenezi wa CDM ni Jk na sasa amemrisisha Jpm makamanda waacheni hao marehemu watarajiwa wa enioy M4C. rais ni Lowasa tu
 

Attachments

  • 1442603171881.jpg
    1442603171881.jpg
    42 KB · Views: 349
Last edited by a moderator:
SHANTI U have some points, but letz put our political affiliation aside and look this matter in legal perspective according to the Intelectual property Law or any other Law that protect copyright.

I think you maght concur with my submission first before adding any crucial point of law on the intellectual property.

CHADEMA registered M4C as Movement 4 Change. CCM I dnt think if they have registered but they are using M4C as Magufuli 4 Change.

The abbreviation is the same though interpretation, drift, and implication (use), might be different. But significance, worth, and purport might be the same likewise.

Therefore if CCM registered it or not they shall liable for copyright law.

The Laws protect copyright doesnt protect the implication itself, protects Designing, colour, signature, brand name etc.

Since that logo is registered for CHADEMA then CCM to use the same logo though in different implication dsnt put them aside from liability.

I respectely concur with your submission on implication of the word M4C, but I differ with u in colour identity, designing, abbrevistion of the same word.

We all aware that CHADEMA is a registered party with its identity colours therein, and CCM likewise. So CCM copying and pasting even chadema's colours, I hasitate to say they must be liable.

If I ask u where dd CCM find red colour in their logo, you might not find the coherent response.!

Nilipata wasaa wa kutazama taarifa ya habari ya AZAM TV leo usiku, nikamuona mwanasheria wa Chadema ameshika vipeperushi viwili vinavyofanana michoro ya nembo ya M4C.

ya Chadema imenogeshwa na rangi nyekundu, buluu (blue), na nyeupe. Wakati ya CCM imenogeshwa kwa rangi ya manjano na kijani.

Tukirejea kwenye suala umiliki wa logo ( namaaanisha "M4C" ) chadema wanaweza kutuonesha hadharani kuwa wao ndio wamiliki halali? Pili watueleze kinaga ubaga pasipo na shaka kuwa wao ndio wamiliki wa logo hiyo kwa kuleta hati miliki toka mamlaka husika ikiwamo basata na msajili wa vyama vya siasa kudhihirisha kuwa herufi hizo ni sehemu ya nembo yao ya usajili.Vinginevyo zitabaki kuwa sehemu ya vifupisho vya kawaida na kila mtu ana haki ya kutumia

Halafu tukirejea kwenye hiyo sheria ya umiliki na ubunifu. Nadhani inaeleza wazi uhalali wa kumiliki nembo utakamilika pale utakapopata cheti cha umiliki toka mamlaka husika, vinginevyo ikitokea CCM wanaiwahi Chadema kusajili basata na kwa msajili wa vyama vya siasa itakuwa yao. Udhaifu hapo ni mazoea ambayo unataka kutuaminisha kuwa ni mali ya chadema.

Hivi umejiuliza swali aliyebuni mchoro huo akisema yeye ndiye mmiliki halali wa hiyo logo , na kisha akatoa hati miliki yake hiyo nguvu ya kuongea mitandaoni itatoka wapi? Na akisema kwa hiyari yake kawauzia CCM mtaanzaje kujenga hoja yenu juu ya umiliki?

msimamo wangu upo pale pale kwenye tafsiri hivyo vifupisho, kama havisemi neno moja basi hiyo ndio tofauti.Vingine vinabaki kuwa mazoea kwenye maisha
 
Last edited by a moderator:
Wataiga sana mwaka huu lakini mwaka huu #CCMOUT





LOWASA HUYO ANAKUJA NA TANZANIA MPYA.
 
Kwani matumizi ya nembo hii yameidhinishwa na ccm Rasmi ama ni Kazi za vijana wa mtandaoni?

Unaweza kuidhinisha expressly au kwa kuridhia au kwa yote mawili.

CCM wana kesi ya kujibu hapa.
 
inaonesha impact ya maafuriko imekuwa kubwa sana
 
CCM wamechoka kufikiri. Hawana wanacho waza zaidi ya kutuibia. Walisema Mbowe ni DJ hivyo hana elimu lakin kila ubunifu anaofanya Mbowe wanaiga. Walianza kuiga kombati, wakaja slogani ya mabadiliko sasa hivi M4C. Mbowe is the best politician after Nyerere.

Kwani yule jamaa anayetembea kwenye kampeni na Pombe mwenye tumbo kubwa hivi ambaye jana alisema piga ua galagaza ccm haiwezi waachia wapinzani Ikulu, Elimu yake ni darasa la ngapi vile???
 
asante sana kwa ufafanuzi mkuu. upo makini sana. ngoja sasa maCCM yaje hapa kuweweseka.
 
Malisa Godlisten

Hauna pressure kweli mkuu?

unachukulia vitu very serious mpaka unatia kinyaa!

hivi kuna official note/statement iliyotolewa na uongozi wa CCM kuwa utakuwa unaitumia hiyo logo??

haiwezekani kabisa mtu mmoja na utashi wake akakaa sehemu akafanya hiyo kazi na kurusha mitandaoni?

KITU CHENYEWE KINAITWA SIASA?? seriously made you to write all those words??

common get life!
 
Last edited by a moderator:
Mm wanazidi kunijaza hasira kwa hayo mambo yao,kituoni nitafika saa 11 alfajiri kuchinja mafisiem
 
Nilipata wasaa wa kutazama taarifa ya habari ya AZAM TV leo usiku, nikamuona mwanasheria wa Chadema ameshika vipeperushi viwili vinavyofanana michoro ya nembo ya M4C.

ya Chadema imenogeshwa na rangi nyekundu, buluu (blue), na nyeupe. Wakati ya CCM imenogeshwa kwa rangi ya manjano na kijani.

Tukirejea kwenye suala umiliki wa logo ( namaaanisha "M4C" ) chadema wanaweza kutuonesha hadharani kuwa wao ndio wamiliki halali? Pili watueleze kinaga ubaga pasipo na shaka kuwa wao ndio wamiliki wa logo hiyo kwa kuleta hati miliki toka mamlaka husika ikiwamo basata na msajili wa vyama vya siasa kudhihirisha kuwa herufi hizo ni sehemu ya nembo yao ya usajili.Vinginevyo zitabaki kuwa sehemu ya vifupisho vya kawaida na kila mtu ana haki ya kutumia

Halafu tukirejea kwenye hiyo sheria ya umiliki na ubunifu. Nadhani inaeleza wazi uhalali wa kumiliki nembo utakamilika pale utakapopata cheti cha umiliki toka mamlaka husika, vinginevyo ikitokea CCM wanaiwahi Chadema kusajili basata na kwa msajili wa vyama vya siasa itakuwa yao. Udhaifu hapo ni mazoea ambayo unataka kutuaminisha kuwa ni mali ya chadema.

Hivi umejiuliza swali aliyebuni mchoro huo akisema yeye ndiye mmiliki halali wa hiyo logo , na kisha akatoa hati miliki yake hiyo nguvu ya kuongea mitandaoni itatoka wapi? Na akisema kwa hiyari yake kawauzia CCM mtaanzaje kujenga hoja yenu juu ya umiliki?

msimamo wangu upo pale pale kwenye tafsiri hivyo vifupisho, kama havisemi neno moja basi hiyo ndio tofauti.Vingine vinabaki kuwa mazoea kwenye maisha

Huyo jamaa hapo juu katapika utumbo sana tu, hata ukimuuliza mmiliki wa hiyo Logo ni nani? alienda kuimilikisha?? hajui haya yote anabaki tu kusema HAKIMILIKI

wajanja wameiba ndio mkae macho na vingine vitaibiwa kama mnabaki na theory 'HAKIMILIKI'

Hivi kiu halisia ni vitu vingapi CHADEMA wameiga kwa CCM??

just asking!!
 
Back
Top Bottom