Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

hata kama ikiwa ni serikali ya ukawa bado atabaki kuwa mbunge na kazi yake kama mbunge ya kuisimamia serikali ipo pale pale.. relax... Ukawaaaaa for change
 
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.

Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?

It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.

Tatizo lenu mmezoea mibunge ya miccm ambayo chama kwanza. Yeye alimaanisha Haya ukawa ikiwa madarakani isiwanyanyase wananchi au kuendesha mambo Kwa kupndapnda
 
Umetoa kauli mbili kuwa watakosoa serikali yao au ya ccm,sasa kwa nini unatoa hitimisho tena la kuwa hawana uhakika
 
Yaweza kuwa hukuelewa au huelewi kazi za mbunge. Kazi kubwa ya mbunge ni kuisimamia serikali....Hata kama ni serikali ya chama chako lazima isimamiwe. Kwa hali hiyo wakiingia bungeni wataisimamia vizuri serikali yao chini ya CDM kwa mwamvuli wa UKAWA hivyo kuleta ufanisi

Kidogo alijichanganya maana ninauhakika. .ukawa wakipata lzm atakuwa waziri hata kubenea..na nadhani bado issue ya kuwa chama cha upinzani bado ipo kwenye damu..but all in all. .either way watatisha tu!..mungu ibariki ukawa iiangushe ccm!..maana tumetaabika vya kutosha!
 
Yaweza kuwa hukuelewa au huelewi kazi za mbunge. Kazi kubwa ya mbunge ni kuisimamia serikali....Hata kama ni serikali ya chama chako lazima isimamiwe. Kwa hali hiyo wakiingia bungeni wataisimamia vizuri serikali yao chini ya CDM kwa mwamvuli wa UKAWA hivyo kuleta ufanisi

Mkuu umenena vizuri sana!
 
Du hiyo kauli ya mnyika inatuletea sintofahamu kwa sisi wapenda amani na utulivu,demokrasia na maendeleo tunaiona kama inalenga kutuchanganya wananchi na hivyo hatuiungi mkono
 
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.

Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?

It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.

Endeleeni kuweweseka mchana kweupeee mtaisima namba mwaka huu
 
Hata kama ni serikali ya Ukawa lazima wawe wakali tu,maana ushkaji ndo ulitufikisha hapa maccm ndiyooooooooo mwishi inchi imekwama.
 
naona ulipost haraka haraka ili tu uwe wa kwanza kupost ila kwakweli hujaielewa thread
Huenda sijaielewa lakini ukweli upo palepale hauwezi kuwaziba mdomo hao Bungeni, iwe Serikali ya Lowassa au Magufuli....ie Hawanunuliki hao watu!!
Nieleweshe we uliyeielewa!!
 
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.

Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?

It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.

Sio Mnyika tu Dr Slaa na Lipumba waliliona hilo mapema ndo maana wakasepa zao.... #hapa kazi tu mpaka kukuche.
 
john mnyika, mgombea ubunge kwa tiketi ya chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya ukawa kuwaondoa ccm.

Mnyika alisema, wananchi wa ubungo na kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa mnyika haamini kama ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?

It means hawaamini kama serikali ya ccm itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la chama cha mapinduzi.

mnyika anajua wazi cdm haishindi ila wewe unaburuzwa tu huna utafiti binasfi
 
Kazi ya mbunge nikutikisa serikali sio lazima iwe serikali ya CCM hatutaki tena wabunge wa ndiyooooooooooooooooooooo
 
mnyika anajua wazi cdm haishindi ila wewe unaburuzwa tu huna utafiti binasfi
Mnyika anajifahamu sio akina mwigulu wa kusema ndioooooooooooooooooo na kulinda serikali yule atasimama kwa niaba ya wananchi pindi lowassa akiingia madarakani
 
Sio Mnyika tu Dr Slaa na Lipumba waliliona hilo mapema ndo maana wakasepa zao.... #hapa kazi tu mpaka kukuche.
Mnyika ni aina ya wabunge ambao hawawezi rubuniwa na serikali ya Lowassa sio mbunge chapa maandazi anajua watu kama akina lowassa bunge likiwa legelege watajisahau mtindo wa ccm
 
Baaada ya kuuza chama wanaona mabadiliko yaliyo mabaya sema hawana njia bali kuwemo tu warudi wajivutie pesa zao waishi vizuri, na wakati huu ufisadi utaongezeka humo bungeni
 
Back
Top Bottom