- Thread starter
- #61
Yaani maswali kama haya anatakiwa apate mtu anayesomea komunyo ya kwanza, ila kwa kuweka rekodi sawa, sakrameti ni kama ubatizo, kitubio, ekaristi, kipaimara, daraja takatifu, mpako mtakatifu, ndoa, alama za kanisa ni 1, takatfu, katoliki, la mitume na misionari....daraja takatfu ni kuwekwa wakfu kwa ajili ya kazi ya Mungu, ushirika wa wataktifu ni uhusiano uliopo kat ya roho za watu waliopo mbinguni, toharani na duniani, nadhani nimekujibuKwanza inavyoelekea huna sakrament hata moja!
Kama unabisha jibu maswali yafuatayo!
1. Nitajie sakrament saba za kanisa katoliki
2. Daraja takatifu ni nini?
3. Taja alama za kanisa katoliki
4. Nini tofauti kati ya dhambi na dhamiri
5. Ushirika Wa watakatifu ni ushirika gan?
Ukinijibu maswali hayo! Ni PM namba yako kesho ukaanze malezi, ukishindwa nenda kanisani ukatubu uanze mafundisho ya ukatoliki.
