Pole sana kwa maswaiba. Ila yote kheri, Hali ya kukeketwa inawatesa sana wanawake kisaikolojia, na huyo mpenzi wako inawezekana hicho kitu kinamtesa sana, wakati mwingine unakuta anakupenda Sana na anaogopa kukupoteza ndio maana anasita kukwambia ukweli, ila nikushauri kitu Haya ni Maisha huwezi...
Hii nadhani ilikuwa ni njia Bora Sana kukabiliana na tatizo la pale jangwani. Mfano kuwe na mtu ambaye atakuwa anasimamia zoezi hilo na kuwaelekeza wapi pakuchimba na wapi waache. Hili wazo inabidi viongozi wetu walifanyie kazi. Upande mmoja watu watajipatia kipato lakini upande mwingine...
28 Nov 2018, 05:09 pm| By AzamnewsMAHAKAMANI
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kusikiliza Rufaa iliyowasilishwa na upande wa utetezi katika kesi inayowakabili viongozi tisa wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo (CHADEMA) inayopinga uamuzi wa mahakama ya hakimu mkazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.