Nikiishia gerezani ndio inakuwajemtaishia gerezani
Mimi namsubiri Roma vs Nice nilipwe kitita changu,wananichelewesha tu.Maboya hao sasa tutabetije
Habari zipo inategemea na vyombo vya habari unavyofuatilia...Hawa jamaa wajanja sana hizi habari wamezidhibiti balaa,hazipatikani hovyohovyo.
Kupelekwa 'Keko'!Kwani shida iko wapi
sijui niseme au basi tukuna watu wanatamani kinachotokea sasa hivi huko Paris kingekuwa kinatokea bongo
ungesema hata janasijui niseme au basi tu
Sijui lini nchi zetu za kiafrika zitajifunza huu ustaarabu wa kutokudhuru waandamanaji!Habari zipo inategemea na vyombo vya habari unavyofuatilia...
Usitegemee kuzikuta ITV au Wasafi FM.
Aljazeera wanarusha vizuri saana.
Macron nafikiri anaweza kuondoka...Ukitegemea kinacholalamikiwa ni Tax na kupanda kwa mafuta- Na hawa matajiri wa Mafuta ni siku kadhaa nao wanavutana kwenye bei ya mafuta Ulaya.
Jambo viongozi wetu wanalotakiwa wajifunze ni kuacha "kiburi" ingekuwa nchi yetu tungeskia waandamanaji 400 wauawa na askri....ila hawa jamaa hawatumii silaha za moto kwa wafaransa wenzao.
Kuna post namba 6 ya uzi huu inaonyesha live feed/streaming ya kinachoendelea, Paris.Hawa jamaa wajanja sana hizi habari wamezidhibiti balaa,hazipatikani hovyohovyo.
Nilikuwa nafuatilia but video zote ziliondolewaKuna post namba 6 ya uzi huu inaonyesha live feed/streaming ya kinachoendelea, Paris.
Unataka kumaanisha nini mkuu??Kuna ubaya kwani?
Kumbuka: Ujeruman naye alikuwa nataka Uaya iwe na jeshi lake...!!Tabia ya vyombo vya Ulaya hawapendi kuonyesha mapungufu yao. Lakini ingekuwa Afrika...! We acha tu, updates zingekuwa kila baada ya sekunde.DW mchana sijasikia chochote kuwa macron anapata tabu
Kuna kitu na wish ila ndo ivo tenaungesema hata jana