Utaratibu wa kudai fidia ya bima kwa abiria aliyepata ajali

Feb 18, 2017
48
125
UTARATIBU WA KUDAI FIDIA YA BIMA KWA ABIRIA ALIYEPATA AJALI
(CLAIM PROCEDURE)

Imeandikwa na BINTI MAKINI
0714351954

Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe vifuatavyo
1.TIKETI YA SAFARI.
2.CHETI CHA MATIBABU YA HOSPITALI.
3. FOMU YA POLISI (PF 3).
4. MCHANGANUO WA GARAMA ALIZOINGIA.
5. PF 90.
6. PF115
7. TIKETI YAKE kama bado anayo (kama imepotea kutokana na mazingira ya ajali itaeleweka haina shida sana).
Cha muhimu ni kwamba kama hakuzidiwa sana basi ahakikishe yeye mwenywe kuwa jina lake lipo kwenye orodha ya majina ya polisi ya majeruhi kwa kutaja majina yake yote kamili.

8. Cheti cha kifo, ikiwa unadai kwa niaba ya ndugu aliyefariki katika ajali.
9. Hakikisha unaziwasilisha nyaraka hizi kwenye ofisi ya bima husika.

KUMBUKA: Utalipwa tu iwapo,ulipanda magari ambayo yaliyoruhusiwa kubeba abiria tu ndiyo (PSV) yaani Passenger Service Vehicles kama vile mabasi ya abiria,daladala, na taxih zilizosajiliwa.

NB: Kampuni ya bima ikikataa kulipa madai unayoona ni halali, wasilisha mgogoro wako katika ofisi za Msuluhishi wa Migoigoro ya Bima zilizopo PPF Tower Dar es salaam au ofisi ya Mamlaka ya Bima(TIRA) zilizpo nchi nzima

ELIMU YA BIMA IWAFIKIE WATU WOTE.
 
kizito2009

Senior Member
Jan 6, 2010
171
250

Na gari binafsi na pikipiki je?zinahusika kwenye huu utaratibu?
 
Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
5,987
2,000
Mkuu tunashukuru kwa elimu hii,
hebu tusaidie kujua kazi ya bima ndogo(Third part) kwenye gari binafsi na comprehensive(Bima kubwa) kwenye gari binafsi pia
 
100 Likes

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
2,411

Bima mdogo (Third part):
  • Kama umekata bima ya namna hii ukapata ajali, bima itahusika kumlipa yule uliyemgonga, awe mtu au uwe umegonga gari. Wewe mwenye bima hutalipwa isipokuwa yule uliyemsababishia madhara.
Bima kubwa (Comprehensive):
  • Ukipata ajali kama una bima ya namna hii unalipwa wewe na yule uliyemgonga.
 
100 Likes

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
2,411
2,000
Duh kusema kweli nilikuwa silijui hili jambo mkuu asante kwa uzi huu.

Bima inacover kwa idadi ya siti za gari hisika, daladala zinasimamisha, kwenye case ya namna hii receipt ni muhimu na ni first come first serve to the maximum number ya siti zilizokuwa insured.

Ulichelewa inakula kwako.
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
13,720
2,000
Bima inacover kwa idadi ya siti za gari hisika, daladala zinasimamisha, kwenye case ya namna hii receipt ni muhimu na ni first come first serve to the maximum number ya siti zilizokuwa insured.

Ulichelewa inakula kwako.
Duh asee ni noma sana. Sasa mfano zile mwendo kasi ambazo zimekuwa designed watu wengi kusimama kuliko kukaa inakuaje mkuu?
 
100 Likes

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
2,411
2,000
Duh asee ni noma sana. Sasa mfano zile mwendo kasi ambazo zimekuwa designed watu wengi kusimama kuliko kukaa inakuaje mkuu?

Kwa gari kama zile unatakiwa kudeclare number ya watu ambao gari linabeba, ili bima ikatwe kwa idadi hiyo. Watakaozidi kulingana na idadi watakosa. Kuwa na ticket ni muhimu.
 
Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
5,987
2,000
Asante mkuu kwa ufafanuzi
Bima mdogo (Third part):
  • Kama umekata bima ya namna hii ukapata ajali, bima itahusika kumlipa yule uliyemgonga, awe mtu au uwe umegonga gari. Wewe mwenye bima hutalipwa isipokuwa yule uliyemsababishia madhara.
Bima kubwa (Comprehensive):
  • Ukipata ajali kama una bima ya namna hii unalipwa wewe na yule uliyemgonga.
 
Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
1,579
2,000
UTARATIBU WA KUDAI FIDIA YA BIMA KWA ABIRIA ALIYEPATA AJALI
(CLAIM PROCEDURE)

Imeandikwa na BINTI MAKINI
0714351954

Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe vifuatavyo
1.TIKETI YA SAFARI.
2.CHETI CHA MATIBABU YA HOSPITALI.
3. FOMU YA POLISI (PF 3).
4. MCHANGANUO WA GARAMA ALIZOINGIA.
5. PF 90.
6. PF115
7. TIKETI YAKE kama bado anayo (kama imepotea kutokana na mazingira ya ajali itaeleweka haina shida sana).
Cha muhimu ni kwamba kama hakuzidiwa sana basi ahakikishe yeye mwenywe kuwa jina lake lipo kwenye orodha ya majina ya polisi ya majeruhi kwa kutaja majina yake yote kamili.

8. Cheti cha kifo, ikiwa unadai kwa niaba ya ndugu aliyefariki katika ajali.
9. Hakikisha unaziwasilisha nyaraka hizi kwenye ofisi ya bima husika.

KUMBUKA: Utalipwa tu iwapo,ulipanda magari ambayo yaliyoruhusiwa kubeba abiria tu ndiyo (PSV) yaani Passenger Service Vehicles kama vile mabasi ya abiria,daladala, na taxih zilizosajiliwa.

NB: Kampuni ya bima ikikataa kulipa madai unayoona ni halali, wasilisha mgogoro wako katika ofisi za Msuluhishi wa Migoigoro ya Bima zilizopo PPF Tower Dar es salaam au ofisi ya Mamlaka ya Bima(TIRA) zilizpo nchi nzima

ELIMU YA BIMA IWAFIKIE WATU WOTE.

Mimi ni mkurugenzi wa Kampuni ya magari ya abiria ambapo gari yetu moja iligongwa na wakati ikibingirika ikasababisha majeruhi kadhaa ndani ya gari na kifo cha mpita njia. Kwa bahati mbaya au makusudi wakati taarifa za polisi zinaandikwa haikuandikwa vyema kama marehemu alipatwa na mauti kama abria au mpita njia ambapo Kampuni ya BIMA imekataa kuilipa familia ya marehemu.

Kwavile fidia imeshindikana kulipwa na BIMA familia imepeleka suala mahakani ambapo kampuni yetu ni mdaiwa. Je ni sahihi kwa Kampuni yetu kushitakiwa? Je katika mazingira kama haya, kampuni yetu inaweza kufanya nini?

Ahsante
 
Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
1,579
2,000
Ombeni kampuni ya bima iunganishwe kwenye kesi alafu mahakama itaamua.

Nashukuru kwa maelezo mazuri sana, nimefuatilia jana kwa kampuni ya BIMA inaonekana familia ya marehemu wameombwa kulipwa kiwango kikubwa zaidi ya Policies za kampuni zinavyosema.Kama ulivyosema kampuni husika nayo iitwe mahakamani THEN huko kila kitu kitajulikana.

Ahsante
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom