.......jamaa ana uvumilivu .....afu bado anamsomesha 😂😂😂😂😂Kweli kabsa awe shoga yake tu.
kukeketwa kunaondoa hamu ya tendo kwasababu kile kinachosupport hamu kimeshakuwa kimeondolewaKukeketwa hakuondoi hamu hapo lazma ana shida ya ziada au kisaikolojia.
Ma be keshawahi nyanyaswa kijinsia kwa kubakwa na akapata maumivu.
Cha kufanya nenda hospitali achinguzwe atapewa booster antenna isome tena
Nataka niongee nae kwa upendo na utulivu wa hali ya juu kabisa nione itakuwaje.Aiseee vyema kama uliligundua tatizo, na kumbuka unapoligundua tatizo inatakiwa kugundua na njia.
Hivyo cha msingi usimwache/muoe ila sio saivi
jaribu kutulia na kuendana naye na mambo yatakwenda shwari
Na hata hivyo unaweza kumweleza juu ya hilo tatizo lake naye atafunguka zaidi kukuelezea
kisaikolojia hayupo sawa kabisa napenda nmsaidie atoke huko alipo kwa sasa japo sio rahisi.Kukeketwa hakuondoi hamu hapo lazma ana shida ya ziada au kisaikolojia.
Ma be keshawahi nyanyaswa kijinsia kwa kubakwa na akapata maumivu.
Cha kufanya nenda hospitali achinguzwe atapewa booster antenna isome tena
nitajaribu mkuuTumia kilainishi Mkuu... Nunua KY...Kama mkavu Sana..
Dooh pole kwa walio keketwa
Mzee ....hapo hakuna maana ya mahusiano .yaani miez saba bila kunyanduanaserious kweli ............bas . mfanye tu awe Dada yako wa damu ........
Although sio hiari take. ....lkn hapanaaa
Pole sana kwa maswaiba. Ila yote kheri, Hali ya kukeketwa inawatesa sana wanawake kisaikolojia, na huyo mpenzi wako inawezekana hicho kitu kinamtesa sana, wakati mwingine unakuta anakupenda Sana na anaogopa kukupoteza ndio maana anasita kukwambia ukweli, ila nikushauri kitu Haya ni Maisha huwezi jua Mungu kakupangia nini na huyo mtu Cha msingi usimwache endelea kumtia moyo ikiwezekana mweleze ukweli unaouhisi nawala usioneshe kustuka au kumyanyapa kwa namna yoyoteile utamjengea kujiamini Sana. Kitendo Cha wewe kumuacha utamwachia simanzi kubwa Sana moyoni mwake na wewe sidhani Kama utakuwa na Amani huko unakoenda (inaonesha your so innocent) mjali huyo ni wako kumbuka ahadi ya damu pale ulipombikiri. Kitendo Cha wewe kumuacha muda huu si afya Sana naamini hata muda kuanza kutafuta mahusiano mengine na kuwa stong naamini haupo usijeingine wrong destination. Msaidi kujiamini. Nakisa Kama chako nilikishuhudi ila muda hautoshi kuelezea hapa.
. ....mtoa post .....atafute tu mwingne .......otherwise hana nguvu za kiumeNataka niongee nae kwa upendo na utulivu wa hali ya juu kabisa nione itakuwaje.
kisaikolojia hayupo sawa kabisa napenda nmsaidie atoke huko alipo kwa sasa japo sio rahisi.
nitajaribu mkuu
Sasa kapenda yeye hiyo hali au unadhani anafanya makusudi? Hakuna anaependa hali ya utofauti usio wa kawaida kwenye mwili wake kwa kuwa hakupenda yeye iwe hivyo
Pamoja nakuvumilia kuna mambo kadha yakuongea nae lazima ufanye hivo iliujue tatizo nn sikushauri uoe ktk hali hiyo kuna wanawake kufanya mapenzi kwao sio mhim isije kuwa waaina hiyo ukaishia kutembea na bint wakaziKwa hiyo nijipe muda kwenye hili? Ukweli ni kwamba nampenda na namuonesha hilo kwa kila namna hata hili la kuweza kuvumilia for 7 months na tunakutana mara kwa mara linathibitisha upendo wangu kwake na mpaka sasa sijapunguza chochote kama kumjali na kumpenda.
Sipendi kabisa hiyo hali imuumize sema ndio hivo unamuona hajiamini kabisa.
How?kukeketwa kunaondoa hamu ya tendo kwasababu kile kinachosupport hamu kimeshakuwa kimeondolewa
Mwambie ukweli kuwa unajua kinachomsumbua, na onyesha kutojali tatz alilo nalo, huenda anahis hujui na anawaza itakuwaje ukijua ndo mana anajilinda mapema.Kwa hiyo nijipe muda kwenye hili? Ukweli ni kwamba nampenda na namuonesha hilo kwa kila namna hata hili la kuweza kuvumilia for 7 months na tunakutana mara kwa mara linathibitisha upendo wangu kwake na mpaka sasa sijapunguza chochote kama kumjali na kumpenda.
Sipendi kabisa hiyo hali imuumize sema ndio hivo unamuona hajiamini kabisa.
Yeah inatengenezwa na ubongo lkn ili kitu kikubali lazma ile tarifa ipokelewe ikulu, sasa kama ikulu imebomolewa tarifa itainda wapi? Na hapo ndipo tatz lingne linaibuka la kusumbuliwa na mawazo (saikolojia). Ko kitakacho teseka n ubongo kushindwa kupata ushirikiano na ikulu.How?
Siasa tu hizo..Hamu ya sex inatoka kichwani..Psychology ikiharibika ndo inayopoteza hamu na sio kiungo kama kiungo per se..