Sijawahi kuona mapacha wa kimasai

Sijawahi kuona mapacha wa kimasai

Acheni porojo za Kipuuzi. Mapacha wa kimasai wapo, Havard University walikuwepo mapacha kutoka Umasaini, mmoja akisomea Engineering na Mwingine Udaktari. Nakupa wengine, Dr. Eliamani na Dr. Elifuraha Laltaika, Hawa hata kuwatofautisha Ni shida, wapo, Ni WANASHERIA mashuhuri tu na Lecturers katika Taasisi tofauti hapa nchini!
Mtumeee
La uso walahi
 
Dawa ya Mwongo ndo hii. Umejichimbia uswahilini hutembei unajifanya unawajua wamasai. Shame on you
 
Hao wachache;kwani sio wamaasai?

Kwahiyo wasomi hiyo miungu haiwahusu?

Kwa mujibu wako maasai wa porini ni wa uaji,machinja chinja sio?kwanini serikali kwa mauaji hayo?
hao si ni wachache mkuu waliozaliwa katika familia za wasomi...ila waliozaliwa porini ndo hivo wanachinjwa
 
hao si ni wachache mkuu waliozaliwa katika familia za wasomi...ila waliozaliwa porini ndo hivo wanachinjwa
Umejuaje Kama wamezaliwa kwenye familia za Wasomi? Using'ang'anize hoja eti wamezaliwa kwenye familia ya Wasomi. Hizi Ni Fallacy! Nenda kaulize Kama Wazazi wao wamesoma, wapo huko wanachunga ng'ombe, hawajawahi kalia Dawati, lakini hawajawahi chinja mapacha!
 
Alikurupuka kujibu,nimependa ulivyomtuliza,maana alishaleta ujuaji bila hata kujua nini kinazungumzwa..
Acheni upuuzi! Hakuna mnachojua, Wala msilazimishe hoja kwa point dhaifu namna hiyo! Leta ushahidi kwamba Wazazi wa hao niliowataja wamesoma! Acheni UPUMb.AVU wa kulishana matango pori!
 
Inawezakana maana hata kilema, Albino wamasai sjawahi ona
 
Habari wakuu

Niko mbele yenu kutoa ufafanuzi kidogo juu ya, maswali ya wengi kuuliza kama huwa Kuna watoto huzaliwa mapacha umasaini...
Ukweli ni kwamba hata mimi tokeaa kuzaliwa katika jamii yangu sijapata kuona mapacha, neither wa kufanana nor fraternal..
Nimekuwa nilijiuliza Bila kupata sababu. Lkini katika kupevuka kiakili na kuanza kushiriki katika jamii moja kwa moja, nimegundua sababu inayo fanya viumbe hawa kutokuonekana......

Wamasaii ni moja wa jamii ambayo iko conservative sana, wamefungwa na mila na desturi za wazee na wakati mwingine huusianisha na imani za kishirikina kuwa mapacha kuzaliwa ni dalili ya kuchukizwa kwa mizimu kwa jambo fulani hvyo lazima jambo lifanyike kuweza kupooza au kuzuia kabisa hasira za mizimu....

Kwa kawaida ili mizimu iweze kunyamaza ni lazima kafara itolewe ili wapate damu nipo watakapo Achilia msamaha kwa jamii husika

KAFARA HIYO NI NANI???

Kwa swala kama Hili mizimu haiitaji kafara ya ng'ombe ama mbuzi Bali damu ya Mwana damu ndo inahitajika....

Lazima mmja watoto waliozaliwa apelekwe kibla ili kuinusuru jamii

Na swala Hili hufanyika kwa siri sana Bila hata baba wa mtoto kujua, na wakt mwingine hata mama mzazi mwenyewe hujui
Inakuwa ni ishu ya wakunga au msaidizi yoyote muda wa kuji fungua.
Hii ndo sababu kubwa kwanini hatuoni mapacha wa Kimasaiii!!!!!!!

End..
VP kuhusu albino mmasai mkuu pia nae hatujawah kumuona ?
 
Wapo wa kutosha nina marafiki zangu wapo oldonyo sambu ni mapacha
 
Acheni porojo za Kipuuzi. Mapacha wa kimasai wapo, Havard University walikuwepo mapacha kutoka Umasaini, mmoja akisomea Engineering na Mwingine Udaktari. Nakupa wengine, Dr. Eliamani na Dr. Elifuraha Laltaika, Hawa hata kuwatofautisha Ni shida, wapo, Ni WANASHERIA mashuhuri tu na Lecturers katika Taasisi tofauti hapa nchini!
Usije ikawa unatuletea habari za Waarusha ama Wameru hapa. Mimi mbado ona kwa kweli
 
Mapacha wa kimasai wapo tena porini kabisa... Nakumbuka mwaka 2014 nilikua kikazi eneo la wamasai tena wana totozi wazuri hao sema wananuka nuka harufu ya ngozi za wanyama wanaowafuga means ni wachafu according to me na kuwagegeda mtu kutoka outside inahitaji moyo maana kwanza hawakubali... Ila kwa kipindi kile nilifanikiwa kukutana na hao mapacha wa kimasai tena na shuka zao, once sikuamini ila baada ya kukaa kama miezi miwili na kuwazoea ndio nukajua kuwatofautisha kidogo... So mleta mada unatakiwa ujifunze kitu kua "if you don't have a proof then you don't have a right to talk and make your own conclusions"
 
Is this a proof, leta picha au video walau nitakuelewa....
 
Is this a proof, leta picha au video walau nitakuelewa....
Lemme me ask you something, suppose katika safari zako zote kila sekunde huwa unapiga picha na kuchukua video?! Do you know what I like and dislike?! Among the things I hate the most is taking snaps or video... So hata kuwaona sikuona umuhimu wa kupiga picha since kazi yangu ilikua inanitaka kuchukua picha za kazi tu cause it was a research and I hated that job sababu I don't like taking pics at all... So whether you believe me or not that's non of my business ila usifoc kua hamna mapacha wamasai "HUJATEMBEA BADO" or maybe you're still young
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom