Recent content by Sailor Boy

  1. Sailor Boy

    Msaada jamani.

    Habarini wana jf, mimi nina laptop ya acer 1410 naipenda sana ila kuna cku ilianguka na ikaua motherboard, naobeni mwenye nayo aniuzie ntashukuru sana.
  2. Sailor Boy

    DCI Manumba: Kuna tishio la al-shabaab kushambulia Tanzania...

    mi mwenyewe alishabab msinitibue embu nka walawiti na mabomu ohoooo.
  3. Sailor Boy

    China government scholarship - nanjing university masters and phd program

    mi najua kichina ila nko la 5 vp naweza kupta scholarship?
  4. Sailor Boy

    Institute of Accountancy Arusha

    mimi nasoma apo, kama ni mvivu wa kusoma ajiandae na sapu za kutosha, pia ajiandae kuishi geto na msela akifka mwaka wa 2 mana hostl ni za 1st yr tu. Ni pm mimi nim tek car akija mzeiya ucjali nina imani za kipadre atakua sister wangu.
  5. Sailor Boy

    Live mtaani kwetu

    duh noma
  6. Sailor Boy

    Taa ya alteza gita ya nyuma inahitajika

    Habarini wana jamvi. Nahitaji taa ya alteza gita ya nyuma kama kuna mtu anazo anauza ani pm bei na mahali alipo
  7. Sailor Boy

    Msaada jamani ticha ananizingua

    mimi c kwamba najua ndo mana nimekuja jukwaani ili mnisaidie, tcha HE IS RIGHT, mana amenifanya nimesoma articles nyingi sana, nisaidieni tu wanajamii.
  8. Sailor Boy

    Msaada jamani ticha ananizingua

    Habarini zenu wana jamii, mimi ni mwnafunzi wa chuo flani hapa tz, sasahivi naelekea kufanya field, natakiwa kuandaa proposal kabla cjaanza kuandika resarch riport yangu, tatizo limekuja kila topic ninayo mtumia mwalimu ane nisimamia aniambia the title is too wide or abstract...
  9. Sailor Boy

    ananipenda lakini simpendi hata kidogo

    keshazoea kupewa vocha unadhani ataweza kuuchuna tna? Inshort atamuumiza 2.
  10. Sailor Boy

    Between your legs!

    kanumba-Between your legs
  11. Sailor Boy

    Tumeanza uchunguzi bei mpya ya mafuta-EWURA

    mimi c mtambui kiwete kama raisi wangu!
  12. Sailor Boy

    Wireless internet transmitter

    ingia control panel, then network and internet nenda kwenye network connection, then right click iyo modem then sharing alafu chek (allow other network to conect through this computers internet connection) ok then dial tena.
  13. Sailor Boy

    Form 3

    haki elimu itakusu
  14. Sailor Boy

    Hivi tanzania sisi wote ni watoto?

    Wana jf naombeni mnieleweshe mana nimekua nikjiuliza maswali mengi sana kuhusu hii serekali yetu inavyo tudanganya, bungeni walisema watashusha mafuta ili hali ya maisha iwe na ahueni ifikapo tar 1/7/2011 cha ajabu ilipofika hiyo tarehe mafuta yaliongezeka bei kwa kiasi cha sh 100, je ni kwanini...
  15. Sailor Boy

    Mikopo ya haraka inapatikana

    nyie mnataka kuibia watu magari yao 2, mana kama m2 akija na gari ya thamani ya m 3 na ataka m 6 mtampa? Nyie c mta taka mumpe milion alafu masharit arudishe ndgani ya wiki akichelewa mnamzika gari yake 2shafanya uo ujinga so nenda vijini ukaibe mashamba.
Back
Top Bottom