Hivi tanzania sisi wote ni watoto?

Sailor Boy

Senior Member
Nov 25, 2010
103
5
Wana jf naombeni mnieleweshe mana nimekua nikjiuliza maswali mengi sana kuhusu hii serekali yetu inavyo tudanganya, bungeni walisema watashusha mafuta ili hali ya maisha iwe na ahueni ifikapo tar 1/7/2011 cha ajabu ilipofika hiyo tarehe mafuta yaliongezeka bei kwa kiasi cha sh 100, je ni kwanini serekali inatudanganya, na mbona hao wabunge wa chadema ndo walikua watetezi wa bei ya mafuta kushuka sasa ivi wamekaa kimya? Kwanini wanaongea tu hawafanyi kwa vitendo?
 
Wote sio watoto japo kuna wengine wakubwa lakini mawazo kama watoto. Nadhani unamaanisha pia kuwa kwa kuwa wewe si mtoto, utajiunga na wakubwa wenzio kubadilisha nchi hiyo.

Chadema hawataweza kubadilisha hizo bei. Ni ama wewe + wengine, ama CCM wakiamua coz wanaongoza serikali. Ni wakati mzuri kuifahamu zaidi CCM kuliko kudhani ni wakati wa Chadema kuchukua hatua zozote!!
 
Wana jf naombeni mnieleweshe mana nimekua nikjiuliza maswali mengi sana kuhusu hii serekali yetu inavyo tudanganya, bungeni walisema watashusha mafuta ili hali ya maisha iwe na ahueni ifikapo tar 1/7/2011 cha ajabu ilipofika hiyo tarehe mafuta yaliongezeka bei kwa kiasi cha sh 100, je ni kwanini serekali inatudanganya, na mbona hao wabunge wa chadema ndo walikua watetezi wa bei ya mafuta kushuka sasa ivi wamekaa kimya? Kwanini wanaongea tu hawafanyi kwa vitendo?
Kwani ukuwasikia wabunge wa chadema wakipigia kelele na wabunge wenu walibaki kusema ndiyooooooooo.haya ndiyo matokeo.
 
wabunge hawna nguvu ya kubadilisha bei hii ni kwasababu ministry of finance ikisha soma bajeti wabunge nguvu yao ni ndogo sana labda ukiwa mswada
 
Pateni kitu roho inapenda!
We unadhani zile tshirt+kanga+vtambaa Na kofia wazani vitafidiwaje cost zake.
Sasa siri next tm mckubali ila mcseme mi ndo nimewaambia wasije wakaniLUMUMBA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom