Msaada jamani ticha ananizingua

Sailor Boy

Senior Member
Nov 25, 2010
103
5
Habarini zenu wana jamii, mimi ni mwnafunzi wa chuo flani hapa tz, sasahivi naelekea kufanya field, natakiwa kuandaa proposal kabla cjaanza kuandika resarch riport yangu, tatizo limekuja kila topic ninayo mtumia mwalimu ane nisimamia aniambia the title is too wide or abstract
mfano..........effectiveness of network security in controlling vital data, anasema niwe specific what is network? And what is vital data je hiyo topic inamakosa? Nisaidieni kama kuna mtu anaweza nafanya it, nisaidieni good toppic
 
Huyo mwalimu labda ni kilaza fulani hivi. Mwambie mkae mtengeneze title kwa pamoja otherwise kukwambia the title is so wide or abstract mtaishia kupotezeana muda tu.
 
Inawezekana mwalimu ni tatizo lakini ugumu unakuja kwako kwa kuwa unajidai unajua mengi, supervisor makini (na ndivyo namuona huyo wako) litopic lako ni zuri sana kulitamka lakini unapaswa kujua ni vizuir ukawa specific kwa yale aliyokuelekeza, binafsi ningekueleza ufafanue hayo alokwambia. jikumbushe namna tunavyochambua sentensi kwa vigawe, Ningekushauri kaa na mwalimu mkubaliane topic, kama kuna ugumu topic yako iache hivyo hivyo ila kwanye 'vital data' weka aina ya data unazofahamu hii itaondoa usumbufu anaoukataa mwalimu.
 
mimi c kwamba najua ndo mana nimekuja jukwaani ili mnisaidie, tcha HE IS RIGHT, mana amenifanya nimesoma articles nyingi sana, nisaidieni tu wanajamii.
 
effectiveness of network security in controlling vital data, hapo kwenye kijani binafsi naona ndo panapogomba, nina hakika supervisor wako ukiweza kuonesha aina ya data zinazopaswa kulindwa hata kuwa na tatizo na topic yako kwenye red, kingine kumbuka ni nn objective yako 'general objective of ya study' mf. Effectiveness of network security in controlling employees' data' hapa msingi wako utakuwa ni kutambua network security na namna inavyofanya kazi. Kutegemeana na study design yako na hasa mbinu za kukusanya data utaweza kuifanya kazi yako kuwa rahisi na kitaaluma zaidi.
huko field unakoenda jitahidi kutafuta mengi zaidi kama utaamua kuwa na topic hii, kozi unayochukua inahusiana na nn, nisije kuwa nashauri kitu ambacho hakiendani na masomo unayochukua, ufafanuzi nilioufanya hapo juuumejikita zaidi kwenye masuala ya public admin/mgt
 
YOUR TITLE IT MUST BE "SMART that is S-specific,M-measurable,A-attainable,R-realistic and T-time bound! AND also you should state variables!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom