Mikopo ya haraka inapatikana

If you mean business achana na jazba......mimi nimekuliza, huo utaratibu wenu unabadilika badilika sana kuhusu;

1. Gharama za valuation ya assets - mara costs za valuation anazibeba mwombaji mara ni bure

2. Gharama za riba...mara min 15% to 20%, tena leo umekuja na 10% to 25%

3. Repayment period ....mara ni 1 Month, tena leo waja na 1 to 8 months!

Sasa unakuwa hueleweki, inaonekana mna mihela tu (bora isiwe from EPAs etc) na hamaja jipanga vizuri kabisa!

Achana nao hao, wezi watupu. Niliwapigia simu, waliyonambia ni tofauti kabisa na wanayosema humu, wanadhani watz bado tupo mbumbumbu kama enzi za mwalimu.
 
Achana nao hao, wezi watupu. Niliwapigia simu, waliyonambia ni tofauti kabisa na wanayosema humu, wanadhani watz bado tupo mbumbumbu kama enzi za mwalimu.

Mkuu Obhusegwe;

Ebu tuhabarishe kidogo, ulipowapigia walikupa information gani? na je walikwambia wako maeneo gani Dar hapo?
 
Achana nao hao, wezi watupu. Niliwapigia simu, waliyonambia ni tofauti kabisa na wanayosema humu, wanadhani watz bado tupo mbumbumbu kama enzi za mwalimu.

wewe unapiga kelele kwenye mtandao unaudhibitisho gani kwamba ni wizi.
kigezo gani umetumia kusema kwamba ni wizi.ulishaibiwa au kuna mtu ameibiwa?
kubadilisha masharti ni jambo la kawaida,benki au taasisi inayojulikana
ikibadilisha unasema sawa mzee watu wengine wakibadilisha unasema wizi.
wewe umepewa masharti kama umeshindwa usikurupuke bila kufikiria unachosema ,wapo wenzako wanakopa na hawalalamiki kama wewe unabahatisha biashara ya kufanya omba msaada benki.
kuna wizi gani kama mtu unayetaka kukopa unapewa masharti ya mkopo kabla ya kukopa na pia unapewa kopi ya mkataba kabla ya kusaini kukubali mkataba?
wewe kama unasema ulinipigia simu nilikuambia tuonane ukaogopa,kwahiyo wewe ndiyo mwizi ulikuwa unanidanganya,huna gari wala hutaki kukopa ila unasumbua watu.
onge mambo yenye busara sio kuongelea mambo ya ushabiki bila hoja ya msingi
 
Wizi mtupu hamna kitu cha maana na kwa nini mtu utoe masharti??Kwa nini utoe email tu pamoja na namba ya simu alafu namba yako unasema kwamba wakutumie messeg kwa nini hujasema unaweza kunipigia kwenye namba hii??Toa details kamili na za kueleweka sasa hivi kila mtu anataka kufahamu kitu live sio kiuficho uficho kama manzeshe hatupo manzese hapa na pia kwa nini useme kwamba inabidi dhamana uweke gari??Kama mimi sina gari itakuwaje???Kwa hiyo siwezi kupata!!
 
haya ni masharti yangu,unaweza kuyafuata au ukaacha.
hujalazimishwa,unaweza kuomba mkopo huko ulipo watakusaidia.
 
MIKOPO HARAKA INATOLEWA KWA WALE WOTE WENYE KUHITAJI HELA ZA HARAKA KWA AJILI YA BIASHARA ZAO NA MAHITAJI MENGINE.HAKUNA URASIMU. MASHARTI YA KUPATA MKOPO NI KUWEKA DHAMANA YA GARI.MAWASILIANO,NITUMIE MESEJI NO YANGU NI 0782440468AU EMAIL. somigroup@yahoo.com
Kwa kweli hapa biashara imekukata! Hivi ni nani ataweka rehani semi trailer lake kwa ajili kukopa vijisent ?
 
nyie mnataka kuibia watu magari yao 2, mana kama m2 akija na gari ya thamani ya m 3 na ataka m 6 mtampa? Nyie c mta taka mumpe milion alafu masharit arudishe ndgani ya wiki akichelewa mnamzika gari yake 2shafanya uo ujinga so nenda vijini ukaibe mashamba.
 
haya ni masharti yangu,unaweza kuyafuata au ukaacha.
hujalazimishwa,unaweza kuomba mkopo huko ulipo watakusaidia.

nataka mkopo wa 900 milion ..... niweke dhamana gari gani ..... acha upuuzi wewe .... mbona husemi dhamana ni nyumba au shamba ...?

... nakushauri tafuta biashara clean zipo nyingi sana ... ni pm nitakupa business idea for free and you wont regret
 
nataka mkopo wa 900 milion ..... niweke dhamana gari gani ..... acha upuuzi wewe .... mbona husemi dhamana ni nyumba au shamba ...?... nakushauri tafuta biashara clean zipo nyingi sana ... ni pm nitakupa business idea for free and you wont regret
Labda uweke dhamana McLaren F1
 
Hahaa, jamani hii Thread si ya 2009 na mara ya mwisho huyu jamaa kufautilia thread yake ni 1st MArch 2009 kama sikosei!
 
riba na muda wa mkopo ni flexible tunajadiliana na muhitaji mkopo.
riba inarange kati ya 10% na 25% kwa mwezi.
marejesho ya mkopo kati ya mwezi 1 na miezi 8.

Basi mikopo yenu ni midogo sana inavyoonekana bado hamjajipanga kiasi cha kuweza kuonekana credible mbele ya watu
 
nyie mnataka kuibia watu magari yao 2, mana kama m2 akija na gari ya thamani ya m 3 na ataka m 6 mtampa? Nyie c mta taka mumpe milion alafu masharit arudishe ndgani ya wiki akichelewa mnamzika gari yake 2shafanya uo ujinga so nenda vijini ukaibe mashamba.

Aishie huko huko mjini kwenu, huku shamba tutamfanya mbaya, tushaibiwa sana mazao yetu.
 
Sanya juu kweli biashara yako inadhihirisha kuwa TZ serikali haiwajibiki ipasavyo, wewe ulipaswa kuwekwa kizuizini. Huu ni aina fulani ya ujambazi na uporaji.
 
Mkuu nilizani upo kusaidia jamii lakini kumbe upo kitapeli zaidi kuliko biashara unayotaka kufanya. kadhalika nimekutumia Imeli na sms na nilipiga sim kwenye hiyo namba uliyo weka hapo simu yako hapatikani na hujibu emali yangu. katika kufatilia hapa nimegundua kua wewe ni tapeli wala sio mfanyabiashara unaetaka faida na kusaidia watu vip. umkopshe mtu kwa kutoza asilimia 30 kwamuda wa mwezi mmjoa kama siutapeli? atawezaje kulipa asilimia3o kwa mwezi huo niutapeli wakiaina wala sio mkopo maanayake mtu akope milioni3 baada ya mwezi ashidwe kurudisha upate maliyake yenye samani kiulaini. acha upumbavu wako kama wewe ni mfanya biashara jaribu kuwa na hekima usitake kutumia fursa hii kuzulum mali za watu kwa kuwa wanashida hustahili kufanya hivyo toa mikopo yenye unafuu utapata watu na pia utakuwa umesaidia watanzania wenzako. umenikera sana nahisi huna huruma na wala huna uzalendo sijui hata kama unadini.
hebu angalia hapo umetoa mfano mtu akichukua milioni 25 alipe milioni 32.---hapo kuna 7m faida yako huyo mtu anafaida kiasi gani mpaka akupe wewe 7m. asee wewe ni jambazi jambazi jambazi. serikali fugua macho kwa mijambazi kama hii
MIKOPO HARAKA INATOLEWA KWA WALE WOTE WENYE KUHITAJI HELA ZA HARAKA KWA AJILI YA BIASHARA ZAO NA MAHITAJI MENGINE.
HAKUNA URASIMU. MASHARTI YA KUPATA MKOPO NI KUWEKA DHAMANA YA GARI.
MAWASILIANO,NITUMIE MESEJI NO YANGU NI 0782440468
AU EMAIL. somigroup@yahoo.com
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Kasopa!!

Umeona bora uteme cheche kavu kavu kabisa,ushalambwa na DECI nini? Jamani tutatapeliwa hadi lini?
 
Malila hawajamaa wanarudisha maendeleo ya wanaichi wanyonge sana. mkuu shemeji yangu alipoteza rav4 2010 kwa 8m hawajamaa ogopa kuliko ukoma. bora ufe nashida kuliko kuchukuwa mkopo kwa hawa watu sijui wana uchawi mungu awalani hiyo mijipesa yao iyayuke ili yasizidi kuwazuru wanyonge AMIN
Kasopa!!

Umeona bora uteme cheche kavu kavu kabisa,ushalambwa na DECI nini? Jamani tutatapeliwa hadi lini?
 
Msituletee utapeli hapa. Ni kwa vipi mikopo ikatolewa kwa movable assets kama magari? hili linahitaji kupata undani zaidi kabla ya kulivaa kichwa kichwa.

Usaniii wa ndg zetu na TAMAA ZETU VITATUUA!!! Kama kampuni za insurance bado zinabahatisha kufanya tathmini HALISI YA GARI (asessment) ikitokea ajali hawa jamaa wanaokubali gari kama dhamana ya mkopo (COLLATERAL) wao wameyamudu vipi?? TAFAKARI
 
mawasiliano ya simu ni rahisi sana hata kwa meseji inatosha kukuelewesha na maswali yako kujibiwa hata kukuelekeza ukitaka kuja ofisini.
riba asilimia 30 ya mkopo.
mkopo utakaopata unakuwa nusu ya dhamani ya gari yako
Mfano gari yako ina dhamani ya milioni 50 unakopeshwa milioni 25.
muda wa mkopo mwezi 1.
Baada ya mwezi 1 unarudisha milioni 32500000.
mikataba yote inasimamiwa na wanasheria.hakuna udanganyifu.
garama za kulipia valuation ya gari yako kujua dhamani yake unalipia wewe mwombaji mkopo.
aliyekuwa serious awasiliane na mimi namba 0713902202 nitamuelekeza atakuja ofisini na jina la ofisi atalijua .
nahisi una matatizo ya akiri
 
Back
Top Bottom