<br />Hello jf!!naomba mwenye information kuhusu masuala ya kitaaluma ya hcho chuo hapo juu,soko la wahitimu wake na mambo mengne anipe,kuna mdogo wangu kachaguliwa hapo for bachelor of economics with finance.
<br />
<br />Hello jf!!naomba mwenye information kuhusu masuala ya kitaaluma ya hcho chuo hapo juu,soko la wahitimu wake na mambo mengne anipe,kuna mdogo wangu kachaguliwa hapo for bachelor of economics with finance.
Embe huitwa embe na si apple wala ndizi, inakuwaje institute mnaziita VYUO ilihali ni TAASISI?is the word Institute=College= University?
asante mkuu nimekusomaBwana Nguchiro, Mawazo uliyonayo ni matokeo ya fikra mduara zilizokujenga kimantiki hadi hapo ulipo. Mtu anaweza kudhani kwamba umekosea kutoa kommenti hiyo. Kimsingi upo sahihi kwa maana ya literal translation yaani tafsiri sisisi. Lakini katika maana pana Chuo ni taasisi yoyote inayotoa mafunzo ya utaalamu wa fani mbalimbali baada ya elimu ya jumla yaani kwetu elimu ya Sekondary. Hivyo mtu akienda kusoma udereva yupo Chuo cha Udereva, Akisoma mafunzo ya Komputer yupo Chuo. Hapa kwetu TZ ili kutofautisha na vyuo vingine, tunaziita Higher Learning Institutions ambazo ni pamoja na University Colleges, Professional Institutes like IFM, IRDP, TIA, etc, pia kuna colleges like CBE na Universities kama ambavyo wengi wanajua ndio tafsiri ya Chuo. University stands for Chuo Kikuu. The rest will remain to be called Vyuo lakin sio vyuo vikuu. Katika ujumla wake tukisema VYUO hiyo ndo maana yake pana na hivyo hakuna kosa lolote.
Sioni tatizo lolote kwa soko la ajira la Institute of Accountancy Arusha. Naendelea kuwakumbusha wana JF wote kutokudhani kwamba traditional universities ndizo zinazopewa kipaumbele katika ajira. Iwe ni Institute
Nawasilisha
Bw Nguchiro nashukuru kwa changamoto yako jaribu kutembelea hii site Top 100 Universities in the World 2010/2011 | Top Universities then utashangaa kuona kwenye top hundred univesities kuna Massachusetts Institute of Technology, Calfonia Institute of Technology,Tokyo Institute of Technology. anyways nisikulaumu huenda mfumo ndio umekufanya hivyoEmbe huitwa embe na si apple wala ndizi, inakuwaje institute mnaziita VYUO ilihali ni TAASISI?is the word Institute=College= University?
mimi nasoma apo, kama ni mvivu wa kusoma ajiandae na sapu za kutosha, pia ajiandae kuishi geto na msela akifka mwaka wa 2 mana hostl ni za 1st yr tu. Ni pm mimi nim tek car akija mzeiya ucjali nina imani za kipadre atakua sister wangu.
Mzee, kuna vibosile wanasoma hapo ESAMI, ambapo wanatenganishwa na fensi tu, wana senti mbaya, na wanakula wanachotaka!ili umbebeshe mimba co?
Mzee, kuna vibosile wanasoma hapo ESAMI, ambapo wanatenganishwa na fensi tu, wana senti mbaya, na wanakula wanachotaka!
Kwa wale wasichana easy-going, basi mambo zao huishia hapo ESAMI kwa hiyo mi'm-baba!
Sasa kichekesho ni ukiwa Arusha mjini!...utasikia jamaa wanasemezana..."Aisee, umekosa demu kabisa?...basi tafuta usafiri twende Njiro IAA tukawasombe wa fasta!"