Recent content by Ryaro wa Ryaro

  1. Ryaro wa Ryaro

    Lusinde: Wapinzani wanaoenda kumuona Spika ni wanafiki, wanamchonganisha na Naibu Spika

    Daaaah! This Country Bwanaaa,.....Mwakilishi wa Wananchi......Form Seven.....
  2. Ryaro wa Ryaro

    Tuliuza kila kitu chetu sasa tunalilia bomba la mafuta la jirani zetu!

    Wewe Ni Noma; Unaongea Mazima Mazima ---Daaaah...
  3. Ryaro wa Ryaro

    Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema

    Mitanzania Bana, Yaani Inaongelea Mimba, Ni Ujuha Kuzungumzia Mimba eti Kampany Zimejiandaa Kuitumia Mimba ?? Huyu Nae leo Kaona aandikeUpuuzi Huu. Kuna Mamiss TZ wangapi Wenye Mishape na Heshima Hawashobokewi leo Hii Washobokee Mipepe..
  4. Ryaro wa Ryaro

    Kenya: AU adopts President Uhuru's proposal for mass withdrawal from ICC

    Before African Countries mass withdraw from the International Criminal Court,then President Pier Nkrunzinza of Burundi and Hon Jecha S. Jecha of Zanzibar Must face the ICC.
  5. Ryaro wa Ryaro

    Marekani kuitikisa Tanzania kwa vikwazo

    Ebu Dr. Chein Ajaribu Kuheshimu Maamuzi ya Wazanzibar Waliomkataa Kwenye Sanduku la Kura. Haki Itendeke Mh. Maalim Seif Apewe Urais wake Maisha Yaendelee.
  6. Ryaro wa Ryaro

    Ili kubana matumizi, uchaguzi Zanzibar usifanyike Shein angazwe mshindi

    Bonge la Ushauri Kwa CCM Basi Wakusikilize, ili atangazwe aliyeshindwa tarehe 25 October 2015.
  7. Ryaro wa Ryaro

    Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

    Tatizo Ni Nini?, TBC1 na Serikali ya JPM Inajiandaa Kuficha Nini?, Kama TBC1 Ni Chombo Cha Taifa Kwa Nini Tuwekewe Figisufigisu za KutokukifaidiChombo Chetu. Kama Wasiporusha Live Basi TBC1 Ni Chombo Cha CCM Kama Ilivyo Gazeti la Uhuru na Mzalendo. Ulimwengu wa Sasa Wanasema Ni Black and...
  8. Ryaro wa Ryaro

    Dr. Salim A. Salim: Haki itendeke Zanzibar, dunia imeshtushwa na kurudiwa kwa uchaguzi

    Maadui Wa Benard K. Membe Ni Hakina Nani? Nimeuliza Swali Hili Kwani Kila Baada ya Sentensi Moja Anasema Maadui Wake Wanampaka Matope?
  9. Ryaro wa Ryaro

    Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation!

    Agree with you 100%, Huyu Mkuu wa Mkoa Ni Mungu Mtu. Inabidi achukuliwe Hatua na Haki Itendeke kwa hilo. Kama Mkubwa Kutukana Ni sahihi Na Mdogo Kureact Ni Sahihi. Tit For Tat.
  10. Ryaro wa Ryaro

    Ofisi za ZEC zapigwa komeo

    Wampe Mh. Maalim Seif Urais wake Kwa Maana Uchaguzi Ameshinda, Labda kama CCM Wanataka Kupora Ushindi Halali wa Maalim Seif; Ebu CCMZanzibar Kuweni na Mshipa wa Aibu...Democrasi imekuwa Hivyo Wape Wazanzibar Rais Waliyemchagua "Maalim Seif".
  11. Ryaro wa Ryaro

    Tujikumbushe barua hii muhimu

    Hii Barua ya Arostor Inatosha Kuwakamata Waliotajwa Kwa Upelelezi zaidi. Wakakatwe ili Wachunguzwe Mali zao na Kazi zao Halali then Sheria ifuate Mkondo wake.
  12. Ryaro wa Ryaro

    Huyu HR Manager ni Kiboko cha ACACIA Gold Mine, kawazidi ujanja!

    Majungu at Work; Wewe Inaonekana Una Chuki Binafsi na Mshikaji. Huyu Unaempiga Majungu Nadhani Mungu Wake Anampigania, ila kwa wewe Kutokujua Unamdhania Anatumia Miziziology. Acha Majungu Kijana Na Tafuta Kipato.
  13. Ryaro wa Ryaro

    Wema na Idris ni wapenzi kweli?

    Kijana Tafuta Kazi zenye Tija, Hii tabia ya Kufuatilia Wasanii Na Kutaka Kujua Mahusiano Yao Haitakusaidia. Waste of Valuable time,Jirekebishe...
  14. Ryaro wa Ryaro

    Hali ya Kisiasa Zanzibar: Maalim Seif aongea na Vyombo vya Habari - Jan 11, 2016

    CCM Wanakuona Mh. Maalim Seif kama Zuzu, Haiwezekani Mazungumzo Yakawa Yanaendelea Lakini kila Kukicha CCM Wanajiandaa na Marudio ya Uchaguzi. Huku Makada wote Wakitangaza Kurudiwa Uchaguzi. Uvumilivu na Ustaimilivu Wako Watanzania tumeona Na Dunia Imeona. Hivyo basi Mh. Maalim Seif Waambie...
Back
Top Bottom