Tujikumbushe barua hii muhimu

Kim Jong Un

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
496
259
1.jpg 2.jpg 3.jpg 4.jpg 5.jpg 1.jpg 2.jpg 3.jpg 4.jpg 5.jpg Hii barua iliandikwa na mfungwa wa madawa ya kulevya huko Hong Kong lakini serikali ya Kikwete haijawai kuifanyia kazi barua hii, nashangaa kwanini mpaka sasa ndo ifanyiwe kazi.

Barua inaeleza jinsi vigogo wa serikali walivyo washriki wakuu kwenye janga hili la madawa ya kulevya, je ambao waliiweka kapuni waweza kuwa washiriki.

Najua tunajikumbusha tu
1.jpg
2.jpg
3.jpg
4.jpg
5.jpg
 
Nchi haiwajali wananchi wake.
Marekani hata kama ni magaidi wamemkamata mwandishi wa habar watafanya juhudi zote kumwokoaa
 
Hii Barua ya Arostor Inatosha Kuwakamata Waliotajwa Kwa Upelelezi zaidi. Wakakatwe ili Wachunguzwe Mali zao na Kazi zao Halali then Sheria

ifuate Mkondo wake.
 
Padre John anayehisika kuwahudumia hawa wafungwa, pamoja na juhudi zake za kuweka barua hizi kwenye mtandao wake, lakini pia alifika physically bongo kutembelea baadhi ya familia za wafungwa husika! Je, mamlaka husika zilichukua hatua gani? Je, vyombo makini vya habari vilimpa coverage kiasi gani?
 
hicho ndo kinachosikitisha raia wanajitolea kutoa taarifa ila serikali haifanyiii kazin swala hili

vyombo vyote vya habari kimya
 
Haya ni maoni tu ya mwandishi wa hiyo barua, anasema anachokiamini. hajataja chochote kinachoweza kusaidia uchunguzi, au kutoa ushahidi wowote
 
Haya ni maoni tu ya mwandishi wa hiyo barua, anasema anachokiamini. hajataja chochote kinachoweza kusaidia uchunguzi, au kutoa ushahidi wowote
maoni yanaweza kupelekea kuanzishwa kwa uchunguzi wa kina juu ya hawa watu kama kweli kulikuwa na nia ya dhati ya kupambana na madawa ya kulevya
 
Daaa...hadi mwili unatetemeka,nafsi yngu inaamini hao n real drug dealer in Tanzania.
 
Back
Top Bottom