TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,505
- 28,437
Marekani anamuhitaji zaidi Tanzania kuliko Tanzania anavyomuhitaji! Na kuonyesha kuwa Tanzania yuko makini kumuweka sawa Marekani tayari sampuli za maji yanayotiririka kutoka mgodi wa North Mara zimeishachukuliwa tayari kupimwa kwa Mkemia mkuu, TBS na TFDA!