Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema
  • February 3, 2016

Kampuni tatu zimejitokeza kutaka kumtumia kibiashara mtoto atakayezaliwa baada ya staa wa filamu Wema Sepetu kujifungua baadaye mwaka huu.

Chanzo cha uhakika kilicho karibu na staa huyo, kimesema kampuni hizo ambazo hakuzitaja kwa kushindwa kukariri majina yake, zimeshafanya mazungumzo ya awali na Wema, kwani wanaamini mtoto huyo atakuwa kivutio kikubwa.

“Hivi ninavyokuambia licha ya kampuni hizo, tayari wengine wamejitokeza na kudai watamvalisha kwa muda wa mwaka mzima mtoto huyo,” kilisema chanzo hicho.

Gazeti hili lilimtafuta muigizaji huyo na kuulizia juu ya ishu hiyo, ambapo alicheka na kudai hayuko katika nafasi nzuri kwa muda huo ili kuzungumzia suala hilo hadi hapo baadaye.
“Kwa sasa ni mapema mno kuzungumzia hilo jambo, nitaweka wazi baadaye,” alisema Wema

Chanzo: GPL
 
Aaahaaaaa muacheni kwa raha zake hata yakitokea makampuni 20 pouwa tu
 
"kwani wanaamini mtoto huyo atakuwa kivutio kikubwa."

Upumbavu to the nth degree!

Eti mtoto atakuwa kivutio kikubwa! Sababu?

Atakuwa na mapembe huyo mtoto? Atakuwa na mkia labda?

Kama atakuwa kivutio kikubwa si wampeleke kwenye zoo huko watu wawe wanalipia hela kwenda kumwona.

Haya wale wenye kutokwa povu kwenye matundu yote mliyonayo nakaribisha matusi yenu:D.

Kama una ubavu ni quote twende toe to toe ila kama huna unaweza ukanitukana bila kuninukuu na kusepa.
 
Mitanzania Bana, Yaani Inaongelea Mimba, Ni Ujuha Kuzungumzia Mimba eti Kampany Zimejiandaa Kuitumia

Mimba ?? Huyu Nae leo Kaona aandikeUpuuzi Huu. Kuna Mamiss TZ wangapi Wenye Mishape na Heshima

Hawashobokewi leo Hii Washobokee Mipepe..
 
Tanzania Tanzania Tanzania nakupenda sana kwa moyo wote......watu wengi duniani huja "kutuona" kwasababu tumegeuka kuwa sehemu ya vivutio vikubwa duniani, kuanzia ongea yetu, hadi tabia na mienendo yetu.

Teh teh teh....itabidi UNESCO ituongeze katika orodha ya world heritage sites.

Sasa subiri uone matusi ya akili ndogo [huko waliko wanasonya kimya kimya maana hawana ubavu wa kuninukuu]

:D:D:D:D
 
"kwani wanaamini mtoto huyo atakuwa kivutio kikubwa."

Upumbavu to the nth degree!

Eti mtoto atakuwa kivutio kikubwa! Sababu?

Atakuwa na mapembe huyo mtoto? Atakuwa na mkia labda?

Kama atakuwa kivutio kikubwa si wampeleke kwenye zoo huko watu wawe wanalipia hela kwenda kumwona.

Haya wale wenye kutokwa povu kwenye matundu yote mliyonayo nakaribisha matusi yenu:D.

Kama una ubavu ni quote twende toe to toe ila kama huna unaweza ukanitukana bila kuninukuu na kusepa.
ha ha ha
pengne hatakuwa na KIRUSI cha ZIKA au labda itakuwa namna hii

35df4f24bcd2713ca2b68ab515ec2ab0.jpg

hapo ndo mvuto utaongezeka 7bu .....
 
Teh teh teh....itabidi UNESCO ituongeze katika orodha ya world heritage sites.

Sasa subiri uone matusi ya akili ndogo [huko waliko wanasonya kimya kimya maana hawana ubavu wa kuninukuu]

:D:D:D:D
Hahahahaaa
 
duuh! naona Wema ana guarantee kabisa na Mungu hivi hajui kuwa kuna lolote linaloweza kutokea hichi kipindi cha mimba?
;);) embu ngoja nisubscribe ili nijionee wale Team vi.ja.mbi.o wakitoa mapuvu
 
duuh! naona Wema ana guarantee kabisa na Mungu hivi hajui kuwa kuna lolote linaloweza kutokea hichi kipindi cha mimba?
;);) embu ngoja nisubscribe ili nijionee wale Team vi.ja.mbi.o wakitoa mapovu
 
Teh teh teh....itabidi UNESCO ituongeze katika orodha ya world heritage sites.

Sasa subiri uone matusi ya akili ndogo [huko waliko wanasonya kimya kimya maana hawana ubavu wa kuninukuu]

:D:D:D:D

Hahahahaha

Nyani Ngabu Vs Team Wema

Wacha niongeze popcorn hapa mpaka patakapokucha kama mayweather na paciayo
 
duuh! naona Wema ana guarantee kabisa na Mungu hivi hajui kuwa kuna lolote linaloweza kutokea hichi kipindi cha mimba?
;);) embu ngoja nisubscribe ili nijionee wale Team vi.ja.mbi.o wakitoa mapuvu

Hivi kwa mfano huyo mtoto akizaliwa ana Down's syndrome je?

Hapo si ndo atakuwa kivutio zaidi?

Teh teh teh...eti timu vi.ja.mbio.....akili zao ndogo hao.

Wanachojua ni kusonya na kutukana tu.

Huwezi kabisa ukajadili nao jambo kistaarabu na kwa kutumia akili.

Sasa subiri uone....naona kamoja tayari kameshaanza.
 
Hahahahaha

Nyani Ngabu Vs Team Wema

Wacha niongeze popcorn hapa mpaka patakapokucha kama mayweather na paciayo

Ah wapi...siwezi kukwaruzana na lightweights.

Haitakuwa fair kabisa. Vijitu vyenyewe vinaniogopa. Teh teh teh.

Ndo maana nasubiri tu hayo matusi nione kama kutakuwa na jipya.

Subiri sasa uone watakavyofura....they are so predictable.
 
Back
Top Bottom