Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,697
Wanajamvi haki ya mtu huwa haipotei bure na jasho la mtu haliliwi kwa dhuluma bali kwa haki, Nimesikia malalamiko kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi Ninaofahamiana nao wa kampuni ya ACACIA GOLD MINE, zamani BARRICK GOLD MINE, kuwa HR Manager wa kampuni ya kandarasi ya BYRNECUT inayofanya kazi ktk mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu ikiwa chini ya ACACIA GOLD MINE aitwaye Nole Shilatu ameshindikana kwa kula rushwa za uajiri, na tangu ameanza huo mchezo kampuni imeogopa kumfukuza kazi pamoja na kupata ushahidi wa yeye kula rushwa baada kumwajiri kijana mmoja ambaye hakuwa na uzoefu wowote wa kazi za mgodini tena chini ya ardhi.
ktk kuhakikisha kuwa anakula rushwa kwa ufasaha zaidi, Nole Shilatu a. k. a Bariadi Boy alihakikisha kuwa anamfukuzisha kazi HR Officer wake Salum ili ajiachie vizuri kula rushwa peke yake na kwa uhuru zaidi, jambo la kushangaza ni kuwa kampuni ya ACACIA GOLD MINE ilithubutu kumfukuza kazi HR Officer wake Safari bila ya kuwa na ushahidi wa kutosha na pia ikamfukuza tena kazi HR Officer wake Magunila kwa ushahidi wa kusikia uvumi japokuwa walalamikaji hawa ambao Nimebahatika kuwarekodi sauti zao kama ushahidi endapo litazuka la kuzuka nami nitakiwe kutoa ushahidi.
Katika mwendelezo wa Nole Shilatu kula rushwa huku akiwa amejificha ktk mwamvuli wa dini chini ya dhehebu la sabato ili aonekane kuwa ni mcha Mungu kumbe ni wakala hatari wa shetani amepokea hivi karibuni pesa nyingi sana kama rushwa ili kuwaajiri vijana wazoefu wa kazi ambao miongoni mwao waliogoma kutoa rushwa wameachwa na kukosa kazi.
Katika maelezo hayo marefu niliyoyarekodi hadi mwisho inadaiwa kuwa Nole Shilatu ni mshirikina ile mbaya na ndo maana kila wanapotaka kumfukuza kazi wanashindwa ikisemwa kuwa ana mganga wake hatari huko kwao Bariadi, walalamikaji wanadai wameshalalamika hadi kwa uongozi wa mgodini lakini nguvu aliyonayo huyo jamaa imekuwa ni kazi bure hakuna wa kuthubutu kumgusa na bado anaendelea kula rushwa huku akitumia njia za siri sana za mawakala wake ambao huwabadilisha mara kwa mara, inasemwa kuwa Nole Shilatu ana mtandao mkubwa hadi mgodi wa North Mara Byrnecut, huyo ndo Nole Shilatu kiboko cha ACACIA GOLD MINE.
NB. Sijakurupuka kuandika habari Nimetunza ushahidi endapo kitanuka na ninao ushahidi zaidi ya kurekodi sauti.
Poleni sana ACACIA GOLD MINE, nyie ni tembo ka sisimizi tu mmekashindwa.