Recent content by ryana fan

  1. ryana fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hata tusipotoboa wewe inakuhusu nini?
  2. ryana fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wairaq hawanaga shida kabisa
  3. ryana fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Safi sana
  4. ryana fan

    JamiiForums Tanzania Maambukizi yaongezeka nchini, Dar es Salaam yaripoti visa 130

    Kazi imeanza rasmi. Kesho watafika 678 nchi nzima
  5. ryana fan

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

    Dr ulimboka yu wapi? Mwenyekiti wa walimu tz kipindi cha Kikwete yu wapi?
  6. ryana fan

    JamiiForums Tanzania Hizi Ndio Ndimi Mbili za Freeman Mbowe

    Watanzania wengi ni wajinga sana moja wapo wewe. Hapo Sukuma Gang imetoka wapi? Tumia akili kutoa komenti
  7. ryana fan

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Sawa sawa
  8. ryana fan

    JamiiForums Tanzania Membe: Hutosikia tena Mtu ametekwa au kaokotwa kwenye kiroba

    Mkuu unaposema enzi za Magu ina maana kina kikwete watu walikuwa hawaumizwi? Enzi za kina mkapa na nyerere watu walikuwa hawaumizwi? Enzi za kikwete watu wanepigwa sana. Je, Dr. Ulimboka alikuwa enzi za Magu? Yule mwenyekiti wa chama cha walimu aliyekimbilia sauz ilikuwa kipindi cha Magu?
  9. ryana fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Muda wao wa kujidai sasa. Waache waongee na kupanga kikosi chao na kumpangia kocha anachotakiwa kufanya.
  10. ryana fan

    JamiiForums Tanzania Kuepuka laana, tuweke tozo angalau ya Tsh. 20 kwa kila chupa ya maji ya kunywa kuwanusuru wenzetu wenye mahitaji maalum

    Tatizo hizo tozo mtaziiba tu. Mwizi hawezi kuacha wizi
  11. ryana fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasisitiza hili kwa wanawake wenzangu, fungueni hayo masikio mpate kusikia

    Wanawake wachache sana wana akili kama yako. Wengu uongozwa na fikra finyu na mihemko na kuona kuwa always wapo perfect.
  12. ryana fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nilikwambia mwanzoni timu iliyomtoa Chelsea robo fainali ndiyo itabeba kombe ukanitolea maneno. Sasa jana imekuaje wakachoma?
  13. ryana fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hili nilisema mapema mkapuza[emoji23][emoji23][emoji23]
  14. ryana fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Chelsea alimtoa villareal Super Cup
  15. ryana fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    We are going to Revenge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom