Hizi Ndio Ndimi Mbili za Freeman Mbowe

Hizi Ndio Ndimi Mbili za Freeman Mbowe

Alimkazia Jiwe kivipi wakati JPM alipiga marufuku mikutano ya hadhara Mbowe akatii, alipiga marufuku maandamano ya Ukuta Mbowe akatii, alichukua idadi kubwa ya Wabunge wa Chadema wakati wake, aliikuta Chadema ina Wabunge zaid ya 70 akaondoka kaichia wabunge 19 plus 1... sasa alikaza vipi ?

Lakini mbona Mbowe alimkazia sana Jiwe?
Kati ya wenyeviti wote yeye pekee ndio hakutepeta!
 
Lakini mbona Mbowe alimkazia sana Jiwe?
Kati ya wenyeviti wote yeye pekee ndio hakutepeta!

Walipoenda kutaka maridhiano kule mwanza wakati wa Magufuli niliwapuuza sana. Maridhiano walitakiwa wayatake Ccm na sio wapinzani. Ukitaka kujua hakuna maridhiano bali kufanyana Mabwege angalia Ccm wanafanya mikutano lakini CDM wanakutana misukosuko. Kujinyenyekeza hakuwezi kuwa maridhiano boss. Haya yanayoitwa maridhiano kwangu ni utapeli wa mchana kweupe.
 
Haya madhila yaliyompata ndio nayozungumzia alimkazia nayo Jiwe.
Yani hayo pamoja ukiongezea na kunyang'anywa Billcanas, Mashamba kuharibiwa, Hotel yake kupewa msukosuko, akaunti za benki kufungiwa, kuvunjwa mguu, kesi za kila aina n.k bado hakusalimi amri kwa Jiwe.
Alimkazia Jiwe kivipi wakati JPM alipiga marufuku mikutano ya hadhara Mbowe akatii, alipiga marufuku maandamano ya Ukuta Mbowe akatii, alichukua idadi kubwa ya Wabunge wa Chadema wakati wake, aliikuta Chadema ina Wabunge zaid ya 70 akaondoka kaichia wabunge 19 plus 1... sasa alikaza vipi ?
 
Nafikiri Mbowe anafahamu Wabongo sio watu wanaoweza kudai haki zao kwa mikiki na purukushani na dola hivyo ameamua kwenda na njia ya ya kuzungumza na ku reason na watawala hasa kwa sasa anapoona angalau anaweza kusikilizwa.
Walipoenda kutaka maridhiano kule mwanza wakati wa Magufuli niliwapuuza sana. Maridhiano walitakiwa wayatake Ccm na sio wapinzani. Ukitaka kujua hakuna maridhiano bali kufanyana Mabwege angalia Ccm wanafanya mikutano lakini CDM wanakutana misukosuko. Kujinyenyekeza hakuwezi kuwa maridhiano boss. Haya yanayoitwa maridhiano kwangu ni utapeli wa mchana kweupe.
 
Huo ndio Uhalisia! Yule Aliyebaki kule Asitoke tena...
 
Kwa taarifa yako Mbowe alikuwa na msimamo kabla ya kumpokea Lowassa 2015, baada ya hapo Mbowe amekuwa wa kawaida sana. Na huku anakoelekea Mbowe sasa ni njia ya kina Mrema, Cheyo, Lipumba nk. Niliwahi kuonya kuwa ni kosa kwa kiongozi yoyote wa kuchaguliwa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 kwenye nafasi moja. Kiongozi akikaa zaidi ya miaka 10 kwenye nafasi moja, hata mazuri yake yote huanza kuharibika. Fuatilia ilivyokuwa kwa Nyerere, Moi, Museveni, Mugabe, Gaddaf, Elbashir, Mubarack nk. Namuona Mbowe kwa kasi kwenye njia hiyo.

Wafiachama kuweni wapole tu. Sisi tumekuonyeni mara nyingi kwamba si Mbowe, Lissu, Mnyika, Lema, Msigwa, Heche, Sugu au mwanasiasa mwingine yeyote anayepigania maslahi ya mwananchi wa kawaida. Mmetumika sana na mtaendelea kutumika kupigania maslahi binafsi ya wanasiasa na familia zao huku nyie mkidhani mnapigania maslahi ya mwananchi wa kawaida. Hakuna hata mmoja ambaye hatabadili gia angani akianza kulamba asali.
 
Huna

Tindo usiwe too low kiasi hiki. Mara nyingi umekuwa na constructive arguments lakini katika hili umeyumba ndugu. Siku zote migogoro humalizwa kwa mazungumzo na si vinginevyo. Je, na wewe unataka Mbowe aingie msituni? Mbona unayumba ndugu yangu. Umejipa muda kuona jinsi migogoro ya Kenya na South Africa ilivyomalizwa? Ni kwa wanyanyaswaji kukaa meza moja na watesi wao, na ndicho kinachofanyika sasa hivi. Labda nikuulize, ulitaka hali ya mivutano iendelee mpaka lini? Na nini faida yake mwisho wa siku?
 
Mbowe hakusema hivyo amesema kuna tofauti kubwa kati ya Samia na Magufuli, lakini

Nyie watu bana.. Kwanza Mbowe hakusema hayo maneno mtoa mada aliyosema
nilikuwa namsikiliza alikuwa akizungumzia klatika context ya kujadiliana kati ya CCM na Upinzani, akasema Magufuli na Samia ni kama Mbingu na ardhi, Magufuli alikuwa akiona wapinzani kama wahaini ila Samia amekaa nao chini kujadili na wameanza tu na wana vikao zaidi vinafuata, bado hawajafikia muafaka wa lolote

Tundu Lissu mwenyewe aliongea akasema pia Magufuli na Samia, Samia ana nafuu kubwa, sababu kawaachia wanachama wao wengi waliokuwa mahabusu kwa kesi za mchongo, na angalau wamekubali kuzungumza, lakini akatoa tahadhari kuwa hajabadilisha sheria yoyote kandamizi zilizowekwa na Magufuli wala kutoia zuio la mikutano ya vyama lakini hilo wanalizungumzia kwenye majadiliano yanaendeleo wataona itakuwaje.

Sasa kuna shida gani hapo? Samia hana tofauti na Magufuli kweli? hamtaki mazungumzo mnataka kuandamana? Mliandamana Mbowe alipokamatwa kwa kesi ya ugaidi? hata mlienda mahakamani kusikiliza?

hawa wanaochochea mfarakano na maandamano wengi ni sukuma gang ili ku prove point yao kuwa Chadema ni wahalifu na Samia hatakiwi kuwapa nafasi bali bunduki na marungu, kisha wanakaa kuchekelea
CCM na Chadema ni mbingu na ardhi. Iko hivyo. Wataelewana pale wanapokula.
 
kahaidiwa kurudi kwenye jimbo lake la Hai ni bora abadili gia angani ili arudishe haraka hasara alizipata kipindi cha utawala wa mwamba wa Chattle!
 
MahaLI ambapo watanzania tulipokuwa tumefikia palikuwa pabaya sana na sijui kama kwa kipindi hiki kifupi kitaweza kurekebishika.

Kwani Watu walishaona chaguzi hazina maana tena. Na Watu wakfikia kutotamani chaguzi tena. Kinachofuata ni mda tu kwani watakuwa na viongozi wasiyo wachagua na mvutano wake ni mbaya sana.

Mimi nawashukuru CHADEMA kwa kujaribu kutaka kuleta muafaka kwa wananchi ila bila kuona nia njema niseme kweli uchaguzi wa mwaka ujao 2024 na 2025 watapiga kura CCM na watoto wao.

Sidhani Watu watakuwa tayari kukaa kwenye foleni kisha yatokee yale ya 2019 au 2020.Never ever.
Ona huyu nae
 
Nafikiri Mbowe anafahamu Wabongo sio watu wanaoweza kudai haki zao kwa mikiki na purukushani na dola hivyo ameamua kwenda na njia ya ya kuzungumza na ku reason na watawala hasa kwa sasa anapoona angalau anaweza kusikilizwa.

Kususia ilikuwa njia sahihi, hiyo ya maridhiano ya kujinyenyekeza sioni tija yake zaidi ya Hadaa.
 
Wafiachama kuweni wapole tu. Sisi tumekuonyeni mara nyingi kwamba si Mbowe, Lissu, Mnyika, Lema, Msigwa, Heche, Sugu au mwanasiasa mwingine yeyote anayepigania maslahi ya mwananchi wa kawaida. Mmetumika sana na mtaendelea kutumika kupigania maslahi binafsi ya wanasiasa na familia zao huku nyie mkidhani mnapigania maslahi ya mwananchi wa kawaida. Hakuna hata mmoja ambaye hatabadili gia angani akianza kulamba asali.

Tuchukulie ww sio mfia chama na sio mpole, je unapigania maisha ya mwananchi gani na ukiwa wapi? Au we unapigania maisha ya wananchi kwa hii fake I'd?
 
Huna

Tindo usiwe too low kiasi hiki. Mara nyingi umekuwa na constructive arguments lakini katika hili umeyumba ndugu. Siku zote migogoro humalizwa kwa mazungumzo na si vinginevyo. Je, na wewe unataka Mbowe aingie msituni? Mbona unayumba ndugu yangu. Umejipa muda kuona jinsi migogoro ya Kenya na South Africa ilivyomalizwa? Ni kwa wanyanyaswaji kukaa meza moja na watesi wao, na ndicho kinachofanyika sasa hivi. Labda nikuulize, ulitaka hali ya mivutano iendelee mpaka lini? Na nini faida yake mwisho wa siku?

Afrika kusini na Kenya waliingia kwenye meza ya mazungumzo pande zote mbili zikiwa tayari kwa hilo. Kwa sasa hapa kwetu Ccm hawako tayari, ila rais aliyeko madarakani, anawatumia viongozi wa upinzani kutakatisha utawala wake. Subiri uone viongozi wa upinzani watakavyotumika, kisha uone uhuni watakaofanyiwa huko mbeleni. Machafuko tu hata kama yatachelewa ndio njia pekee inayoeleweka kwa viongozi wa kiafrika. Afrika Kusini na Kenya machafuko ndio yalileta muafaka, na sio kinyume chake.
 
Dogo huu uchaguzi wa mwaka 2020 mnautumia kama kichaka cha yanayoendelea na vituko vya akina Mbowe,Zitto na wenzao.

Sasa hivi kuna bajeti inaendelea bungeni,kuna maamuzi mbalimbali ya serikali.Je upinzani hauna hoja mbadala ya kuzungumza?

Hata kama "mlinyanyswa" ndio iwafanye sasa muunge juhudi za serikali asilimia 100?

Je hiki kinachoendelea "usuluhishi kati ya Chadema na CCM" nani msuluhishi huru? kama alivyokuwa Nyerere/Mandela mgogoro wa Burundi au Annan mgogoro wa Odinga na Kibaki huko Kenya?
Kama Ndiyo hivyo, basi Chadema hakuna haja ya haja ya kuwa na mgombe urais 2025. Maana wanaunga mkono kila kitu cha Mama.
 
CCM na Chadema ni mbingu na ardhi. Iko hivyo. Wataelewana pale wanapokula.
CCM na Chadema wote ni watanzania, mimi sina tatizo na vyama vyote, najua vyote vina kasoro zilezile..Ila Magufuli ndio alikuwa kitu cha tofauti kabisa, alikuwa na siasa kali za kihutu za kuua, kufunga na kuteka watu. Ndio maana kwenye kitu common ambacho CCM na Chadema wanafanana, ni kuwa Magufuli hakutufaa, japo wana CCM hawalisemi sana hadharani ila ndio ukweli
 
Sukuma Gang wanaumizwa sana wakiona kuna maelewano nchi hii
Wanatamani nchi iongozwe na jitu lenye roho mbaya, kufunga na kuteka watu kila siku

Watanzania wengi ni wajinga sana moja wapo wewe. Hapo Sukuma Gang imetoka wapi? Tumia akili kutoa komenti
 
Back
Top Bottom