Recent content by Rwamuhuru

  1. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu kipya cha kilimo Katavi, ni haraka mno

    Looking for something to say 2015.........no priorities these days, its just a matter of "what something physical and attractive" watakachotudanganya nacho kwenye next election
  2. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania International Street Children Day...12th April

    shirika la Consortium for Street Children lenye makao yake makuu UK pamoja na mashirika mengine ya kupigania haki za watoto mitaani, limeitaka Umoja wa Mataifa kuitenga tarehe 12/04 ya kila mwaka kama siku ya mtoto wa mitaani duniani.. Kwa mara ya kwanza siku hiyo itaadhimishwa kesho trh 12/04...
  3. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Dr.kitine yanaweza kumpata yaliompata kolimba?

    nilimwangalia nikapata picha moja; NI MZALENDO WA KWELI NA MWENYE UCHUNGU NA MWELEKEO, SI WA CHAMA TU, BALI NA NCHI
  4. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Women of Achievement 2011 Decorated; We see huge Women advancement!!!

    Personally namfahamu huyo mama Namba 10, Zainab Ansell, she deserve na company yake ya Zara inafanya mambo makubwa sana kwenye Tourism Industry.....Hope itamu-inspire to do the best zaidi Congrats Zainab and Keep it Up
  5. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Maandamano nguvu ya chadema au umma wa chadema?

    ..ingekuwa ccm ingeitwa umma wa watanzania!..njaa haihamasishwi na kama CCM mtapuuzia kwa madai ya uCHADEMA iko siku...
  6. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Kama mimi ningekuwa kiongozi wa cdm ningefanyia nini 90 millions?

    ni ushauri mzuri na wa kijamaa zaidi. mabepari wa zama hizi watathubutu kweli? anyway, hope wamekupata maana wapo humu
  7. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Msando vipi tena

    mkuu sio swala la ubishi. swala ni sheria na taratibu kukiukwa. ule wkt wa kuitika hata kama hujaitwa kisa hofu umepita
  8. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Show ya Lema vs Pinda featuring Makinda

    ngeleja anaambiwa alidanganya wana nyang"wale umeme 2009 kwa kupitisha malori ya tanesco bila umeme
  9. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania GE2010 MBOWE atamuweza HAMAD RASHID?

    charityboy humfahamu vizuri mbowe....sit down and watch
  10. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa CHADEMA Arusha wamfukuza mkurugenzi wa TAMISEMI

    katika msuguano huu utekelezaji wa majukumu yao kwa wananch unawezekana kwa kias gani? hl ndilo la msingi zaidi ya yote
  11. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Baraza la mawaziri la kikwete - so far!!!

    hv akina Mulugo nao mawazr? me nmebak na majna yao as MPs. they are enjoying their sleep kwenye AC za magari
  12. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Tbc vp?

    mgao wa dowans huo
  13. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

    hahahahaahhaaa....*aombe usajili MEMKWA aanze moja safi UDSM, Kb sio std yenu ku-argue nae huyu. mpuuzieni
  14. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Waziri kawambwa akwaa kisiki udsm---mgomo unaendelea

    waliwapuuza october. wakaona hoja za wasomi ni nyepesi na za kipuuz. acha na wao wapuuzwe kwa hoja na majibu yao mepesi
  15. Rwamuhuru

    JamiiForums Tanzania Kila ninayeongea nae anamlaumu kikwete. Hao asilimia 61 waliompigia kura wapo wapi?

    wengi ni hao hao unaokutana nao ila wanajidai tu kuwa hawakumpigia kura
Back
Top Bottom