Kila ninayeongea nae anamlaumu kikwete. Hao asilimia 61 waliompigia kura wapo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila ninayeongea nae anamlaumu kikwete. Hao asilimia 61 waliompigia kura wapo wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kingcobra, Feb 7, 2011.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Jamani,
  Huu siyo utani. Ninamaanisha nachosema. Yaani kila ninayeongea nae iwe ofisini, kwenye daladala na maeneo ya mapumziko, anamlaumu sana kikwete kwa jinsi anavyoongoza nchi. Wengi wanalalamika hali ya maisha kuendelea kuwa ngumu. Wengine wamefikia hata hatua ya kusema bora sikumpigia kura yangu. Sasa ninachojiuliza hivi hao wananchi asilimia 61 waliompigia kura mbona siwaoni kwa utafiti wangu mdogo tu??? Labda REDET waendeshe kura yao ya maoni wathibitishe hiki nachoongea.
   
 2. Rwamuhuru

  Rwamuhuru Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wengi ni hao hao unaokutana nao ila wanajidai tu kuwa hawakumpigia kura
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Kura za mizimu ndo alizipata!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Walimpigia lakini sasa wanajilaumu na kuigiza kuwa hawakumpigia.
   
 5. Gobegobe

  Gobegobe JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  We msimamo wako vipi, unamwonaje mkulu? Nchi anaiwezea ee!!
   
 6. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Alipata kura za wanakijiji ambao wanaamini wamezaliwa kuwa maskini milele. Hao hawajui jinsi nchi ilivyo tajiri na kwamba utajiri wote unaporwa na mafisadi wanaolindwa na Chama Cha Majambazi.
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  upanga, kisutu, kariakoo mtaa wa uhuru, kitumbini, masaki, oysterbay
   
 8. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Alipata kura za wanakijiji ambao wanaamini wamezaliwa kuwa maskini milele. Hao hawajui jinsi nchi ilivyo tajiri na kwamba utajiri wote unaporwa na mafisadi wanaolindwa na Chama Cha Majambazi.

  Sikumpa kura yangu . mungu anisamehe mara 70.
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Watanzania ni wanafiki sana. Inawezekana walimpigia lakini sasa wanajifanya wanalaumu.
   
 10. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #10
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asilimia 61 ni wale usioongea nao kwa sababu hawaamini kuwa mwana kondoo ni muumba.
   
 11. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  NeC ndio waliomchagua.
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Andamaneni basi kupinga matokeo?? tuone
   
 13. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ni wale akili mgando ambao bado wanavaa sare za watumwa mitaani...
   
 14. m

  mshaurimkuu Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kati ya makosa ambayo daima tunayafanya ni generalization kama hii:

  "... Alipata kura za wanakijiji ambao wanaamini wamezaliwa kuwa maskini milele. Hao hawajui jinsi nchi ilivyo tajiri na kwamba utajiri wote unaporwa na mafisadi wanaolindwa na Chama Cha Majambazi.".

  Usidhani wanakijiji ni wajinga na "wa mjini" ndio mwenye akili au werevu. Kwa taarifa, ukombozi wa kweli wa nchi inaonekana utaanzia vijijini wala sio mijini sembuse Dar es Salaam. Si wajinga wale, ni suala la mobilization tu; mama na baba zetu kule vijijini wana akili za ajabu kuliko hata wasomi wetu mahiri wanaotetea ufisadi.

  Mwenyekiti Mao TseTung alianzia harakati zake vijijini na China ndio kama inavyoonekana hivi leo. Hima, twende vijijini tukaibue vipaji vya ajabu vilivyolala huko.

  Ni kwa mtazamo wakati mwingine tunakosea kwa kutoa majibu ya kijumla kwa mtazamo wa kikabila, kidini, kikanda, n.k. Haiwezekani watu wote kwenye kundi fulani wakawa wajinga. Tuchunge kauli zetu.
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hao ni Usalama wa Taifa,mbwa wa serikali,wanauliza ili wapate data,even wewe waweza kuwa UT
   
 16. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sijui mimi sijui,
  Waliompigia wakina nani, hata sijui,
  kama ni UWT sijui, au ni Kiravu na Makame, sijui
  kijijini au mjini, sijui,
  sijui mimi sijui!:coffee:
   
 17. I

  Ipole JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo unataka kusema hao uliouliza ndiyo takwimu sahihi hali ya uchumi ndugu yangu ni duniani kote hushangai mvua hazinyeshi Kama unakumbuka Dar haikuwa kame kiasi hiki pengine nayo tuse na huo
   
 18. I

  Ipole JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hayo ni matusi maana Kama sare watu wote wanava sare ila inatofaitiana ubora wa sare yenyewe sare zingine zinapendeza sare zingine zinatisha.
  Kwa hiyo msione wivu.
   
Loading...