Baraza la mawaziri la kikwete - so far!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la mawaziri la kikwete - so far!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIMING, Feb 8, 2011.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nasoma gazeti la guardian tarhere 25 November, limeandikwa "Here's teh Cabinet... kuna faces kama akina Goodluck Ole Medeye, Lwenge Gerson, Samia Suluhu, Mwakyembe, Nyalandu, Mulugo, Pereira Silima, Ummy Mwalimu, Kitwanga nk.

  Chini unaona maneno "JK hailed for keeping word on who to pick" na mambo kama hayo

  Baraza ni kubwa na naomba niseme kwamba so far naona akina Mama Tibaijuka ameenda safi (ingawa amekua kimya sijui ndo kamalizwa au akina tibaigana wamekaba koo)

  Mwakyembe naona kama simuelewi, sijui ndio desk limejaa pendings au ameamua kujificha dowans iishe

  Mfutakamba: sioni kitu labda ni wale wanaijificha kwenye mafaili'

  Samia, Ummy, Vuai, Medeye, G. Teu, Gerson, Silima, Nangolo, Kitwanga, naona hamna kitu

  Kumbukeni waziri anapata nafasi kwa kuwa mwanasiasa, hivyo basi pamoja na kazi za mafaili, mnalazimika kutumia utashi wenu wa kisiasa kujisemea mnayofanya na si kumuachia pinda au JK kuwasemea....

  Nafurahi kusema kwamba bado we may have only ten ministries and perform better than hili cabinet la watu wanaokaa kwenye magari ya serikali na kuvimba mashavu

  Kitwanga swahiba.... umeniangusha tayari
  Meddeye.... ziiiiii
  Chiza---- hivi we waziri wa wizara gani?
  Ngeleja... how do you feel when you wake up, shower say bye to your lovely wife while you know that you are useless and we are heading to the dark era? cant you do your family a favor? practice law badala ya siasa?
  Gerson, ulipangiwa wizara gani vile?

  JK piga panga mawaziri to 50%
   
 2. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu mbona itakuwa mapema sana kuhukumu maana maamuzi mengine ya wizara yanahitaji umakini katika kuamua wakikurupuka ndio yakina DOWANS
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mfutakamba! Hivi huyu jamaa sio yule anayehusishwa na walemavu wa ngozi?
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  unahitaji research gani kumjua mtendaji bogus?? huwa haizidi 60 days
   
 5. Rwamuhuru

  Rwamuhuru Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hv akina Mulugo nao mawazr? me nmebak na majna yao as MPs. they are enjoying their sleep kwenye AC za magari
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yeah... yako mengi kweli siku hizi ukiomba utendaji unapewa faili la jitihada na ahadi
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Wapi huko alikohusishwa na walemavu wa ngozi? Hebu tupe taarifa kamili na sahihi.
   
 8. M

  Matarese JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mh mwanangu hivi hao kwenye red ni mawaziri , mbona hata mm siwajui?
   
 9. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  halafu mbona mawaziri wengine hawasikiki??......wanafanya nini???
   
 10. H

  Howdesi Member

  #10
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bado wanajipanga watoke vipi!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,357
  Likes Received: 3,116
  Trophy Points: 280
  nadhani kikwete ndio hafai na ni wa kwanza kuondoka km angekuwa na heki,a kwani amekosa sifa ya kuwa rais toka awamu ya pili................kafoji urais ndiyo maana dhambi inamtafuna
   
Loading...