Elections 2010 MBOWE atamuweza HAMAD RASHID?

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Hatimaye maadui wawili wamepangwa kamati moja ya bunge ya fedha na uchumi. Nina wasiwasi HAMAD RASHID kwa uzoefu wake bungeni atam-buruza mhe. mbowe katika maamuzi.
 
Usitie shaka kama comrade Mbowe ni strong,awezi kuburuzwa ha-mad.....trust me
 
Hatimaye maadui wawili wamepangwa kamati moja ya bunge ya fedha na uchumi. Nina wasiwasi HAMAD RASHID kwa uzoefu wake bungeni atam-buruza mhe. mbowe katika maamuzi.

Mawazo yako Charityboy hayana tofauti na hapo chini

kitimoto.jpg
 
Nina imani Mbowe atakuwa amjipanga kwa ajili ya kutetea maslahi ya Taifa uzoefu ataupata huko huko hakuna aliyezaliwa anajua. Kila la heri Mhe Freeman Mbowe.
 
umekosa adabu, siku nyingi Mods wakupige japo BAN la mwezi mmoja utatia akili, maana sio kila thread uchangie
Crap:hungry:

Nimekosa, nisamehe,nimeondoa maneno yangu!naomba umwambie yule aliyemfananisha Charity boy na nguruwe pia si vizuri!
 
Ohoooo, naona Mbowe hafahamiki kabisa, Labda nitoe Hint kwamba, katika watu ambao vichwa vyao vinafanya kazi harakaharaka na kwa umakini sana katika Bunge la sasa ni Freeman Mbowe.

Vuteni Subira.
 
mbowe ni kichwa sana na hana njaa ila hamad rashid pamoja na uwezo wake mdogo wa kufikiri njaa pia inayumbisha maamuzi yake
 
Ohoooo, naona Mbowe hafahamiki kabisa, Labda nitoe Hint kwamba, katika watu ambao vichwa vyao vinafanya kazi harakaharaka na kwa umakini sana katika Bunge la sasa ni Freeman Mbowe.

Vuteni Subira.

ndugu zangu msijidanganye. Huwezi kumfananisha Mbowe na hamad kwa chochote kile uzoefu, utendaji na hata akili.

Hamad ni kichwa jamani sio kama Mbowe yeye ni wa kuunga unga tu.

Mimi nasema kama Mbowe ni kichuguu basi Hamadi ni Mlima tena mrefu kuliko Kilimanjaro.

Ila Mbowe ana wapiga debe wengi. Tutaona hapo bungeni nani zaidi
 
Naona wachangiaji mnasahau kuwa Mbowe alikuwa Mbunge wa Bunge letu kati ya 2000-2005, kisha akaenda kugombea Urais!! Kwa hiyo analifahamu Bunge.
 
Hivi Mbowe ana ugomvi gani na Hamad? Kwa nini tuna anza kutoa hisia za kuwezana? Wanawezana kwa lipi? Bungeni wameenda kutetea maslahi ya watu wao waliowachagua na taifa kwa ujumla. Mbowe anachaguliwa na watu wa Hai wakati Hamad anachaguliwa na watu wa nchi jirani ya Zanzibar. Wananchi wa Zanzibar wanamatatizo na kero tofauti sana na watu wa Hai - Sasa ugomvi wao au kuwezana kwao kunatoka wapi? Mbowe anatakiwa awasilishe matatizo ya Taifa lake la Tanganyika na Hamadi anatakiwa awasilishe taifa lake la Zanzibar .... sasa mbona hakuna mahali wana maslahi ya aina moja? Je, wamesahau kilichowapeleka Bungeni???????

Sioni mantiki ya hii topic..... sioni kabisa.
 
Kwa hili nakupa tano, upo sahihi kabisa mkuu. Kitika hao wawili kila mtu ana anatetea maslahi ya nchi yake. Ingawa aliyeolewa ni lazima atetee maslahi ya yeye na aliye funga ndoa naye.

Nawasilisha.
 
ndugu zangu msijidanganye. Huwezi kumfananisha Mbowe na hamad kwa chochote kile uzoefu, utendaji na hata akili.

Hamad ni kichwa jamani sio kama Mbowe yeye ni wa kuunga unga tu.

Mimi nasema kama Mbowe ni kichuguu basi Hamadi ni Mlima tena mrefu kuliko Kilimanjaro.

Ila Mbowe ana wapiga debe wengi. Tutaona hapo bungeni nani zaidi
Hivi, hawa waheshimiwa wamekwenda bungeni kushindana?
 
kwani wanashidana kufanya nini?

Wako kwnye kamati kushauri kwa maslahi ya nchi na wananchi period!
 
ndugu zangu msijidanganye. Huwezi kumfananisha Mbowe na hamad kwa chochote kile uzoefu, utendaji na hata akili.

Hamad ni kichwa jamani sio kama Mbowe yeye ni wa kuunga unga tu.

Mimi nasema kama Mbowe ni kichuguu basi Hamadi ni Mlima tena mrefu kuliko Kilimanjaro.

Ila Mbowe ana wapiga debe wengi. Tutaona hapo bungeni nani zaidi
Kumbe bado tu hujapona kale kaugonjwa kako ehh mh daktari?
 
Back
Top Bottom