Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

Status
Not open for further replies.
hahahahaahhaaa....*aombe usajili MEMKWA aanze moja

safi UDSM, Kb sio std yenu ku-argue nae huyu. mpuuzieni
 
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde
lolz hawa watoto hawana adabu kudadadeki bwahahahahahahaha.......
 
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde

Kama ni kweli basi jitahidini kuya-scan halafu muya-post hapa JF na facebook then baada ya siku 2 tu kila mtanzania atajua Kibonde alipata nini sekondari. Hii itamfunga mdomo.
 
nahisi kibonde akiondoka hio redio ratings zake itashuka na pengine kufa,haya madudu yake ndio yanayoipa chati hio redio:twitch:
 
nahisi kibonde akiondoka hio redio ratings zake itashuka na pengine kufa,haya madudu yake ndio yanayoipa chati hio redio:twitch:
aisee ni kweli kibonde inaipaisha sana clauds! Fanya madudu zaidi kibonde good!
 
Duh..hapo kweli amepatikana sasa, amejipeleka mwenyewe kwenye mdomo wa simba..
May be atakuwa na adabu kuanzia sasa.
 
Kibondeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, jina jenyewe kibonde maana yake ni `mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri` refer kamusi
 
Nafikiri Kibonde ni Mtangazaji BORA kwa sasa hivi Tanzania.

Mtangazaji ni lazima watu wakuongelee sana.

Haijalishi kwa mabaya au mazuri. Kibonde kila siku mnamtaja, duu!!! Jamaa kweli yuko juu.

Bahati mbaya/nzuri kijijini kwetu huku Sikonge, hii Radio haifiki.

Yo Yo mzima? Nilisikia Polisi wamekuweka Lumpango!!!! Polisi anamkamata SOULJah Boy???
 
Niliwahi kusema humu kuwa 'historia za watu zitahukumu siku zote..ukiona mtu anabwabwaja sana..au ukiona mtu deliverance yake ina mashaka ..mfano Mkuu wa kaya", trace alikotoka....ingawa kwa wachache hai-apply, lakini kwa wengi inahusika!...:A S 20:
 
Hata hivyo kwa Tanzania watu dizaini ya kibonde ndio wanaotakiwa na watawala. Ni rahisi kufanya nao kazi kwani siku zote wana vitu vya kuficha. Kama hiyo ni kweli basi inaonesha kwa nini jamaa inambidi (hana jinsi) kujificha kwenye machaka makubwa makubwa kama CCM. Kibonde ni mfano tu, ila vipo vibonde vingi nchi hii na bahati mbaya vimeshikilia uhai wa watu makini!!
 
Vijana wangu wa UDSM.

Naomba sana Kibonde aiswe mtu wa Mwisho matokeo yake ya Form IV na elimu kwa ujumla kubandikwa hadharani.
Waheshimiwa wote wanaojifanya kukandia Elimu na movement za wasomi iwe ni desturi kuweka wazi elimu yao na matokeo rasmi katika mitihani yao.
Mara zote watu wa aina ya Kibonde hujikuta wakiropoka kwa sababu Level ya Elimu ya UDSM ni Fupa aloshindwa Fisi kwao. Maji ya Shingo.
 
Nafikiri Kibonde ni Mtangazaji BORA kwa sasa hivi Tanzania.

Mtangazaji ni lazima watu wakuongelee sana.

Haijalishi kwa mabaya au mazuri. Kibonde kila siku mnamtaja, duu!!! Jamaa kweli yuko juu.

Bahati mbaya/nzuri kijijini kwetu huku Sikonge, hii Radio haifiki.

Yo Yo mzima? Nilisikia Polisi wamekuweka Lumpango!!!! Polisi anamkamata SOULJah Boy???

Ni jambo jema kuwafariji siyo wafiwa tu bali pia hata watu wafu kama kama kibonde
 
Nadhani ule muswada wa vyombo vya habari utasaidia kuondoa wanahabari vihiyo kama hawa.cheap labour!
Anaachwa tu anaropoka,waandishi kama hawa huchochea genocide.
 
Yaleteni basi hayo matokeo humu ndani!! Hilo litakuwa fundisho na kwa wengine!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom