Maandamano nguvu ya chadema au umma wa chadema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano nguvu ya chadema au umma wa chadema?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zhu, Mar 6, 2011.

 1. Z

  Zhu Senior Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema imekuwa ikitumia sana msemo wa nguvu ya umma. Kwa tanzania bado haijatokea umma ukatoa malalamiko kwa serikali kwa njia ya maandamano. Kilichotokea Misri ni nguvu ya umma bila ushawishi wa chama cha siasa au dini. Ni vijana walioona maisha magumu then wakajipanga na kufanikiwa kumtoa raisi madarakani. Libya ni chama cha siasa kinachohamasisha maandamano. Si raia tu asiye na muelekeo wa kiitikadi. Tanzania ina vyama vingi cdm, cuf, ccm, nccr nk. Ukichukua wastani wa wapenzi na washabiki wa vyama vya cuf, ccm,nccr nk. Ni asilimia 89. Asilimia 11 tu ndio washabiki na wapenzi wa chadema. Then you call nguvu ya umma. Chadema wanaichezea nchi na kuona watu wote hawana akili isipokuwa those 4 rich people. Nguvu ya umma bado hiyo ni nguvu ya chadema na wafuasi wao.
   
 2. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unatoa hoja yako kwa ushabiki tu wa ccm; au unaangalia reality?? Ni kweli CDM inaungwa mkono na wana CDM na wapenzi wake wengineo hawa hapa unaowaita "WACHACHE"!


  [​IMG]
   
 3. Z

  Zhu Senior Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao ndio wananchi wote wa hilo eneo. Ukweli utabaki palele. Win in these 4 regions in any election but will never rule The country unless you form NAC
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  jealous
   
 5. Z

  Zhu Senior Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jeolus! Chadema is jealus why did kikwete win and get such a good number of wabunge.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  the likes of Makamba ....... you are addressing the past events while Chadema is trying to address to its citizens how to deal with economic hardship ..! shame .... i wonder if you are a true native of this country...... jealous
   
 7. Z

  Zhu Senior Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So you think chadema will make you rich. How much do they spend going around making noise which does not really solve the problem.
  Think on the diversity of tanzanias. It is not true that all tanzania are happy on what chadema is doing whether rich or poor. To insult the government, influencing people to hate the gvt, what do you expect. Peoples mind can not be understood as you think. Ask what happened in Ugandas election.
   
 8. Rwamuhuru

  Rwamuhuru Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ..ingekuwa ccm ingeitwa umma wa watanzania!..njaa haihamasishwi na kama CCM mtapuuzia kwa madai ya uCHADEMA iko siku...
   
 9. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  mtatapa tapa sana mwaka huu...hiki ni muendelezo wa wimbo alioanza kuimba bwana wenu jk,huna tofauti na kina Chiligati.....
   
 10. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  CDM,CCM,CUF......All the same!!!We want constitutional reform that will allow independent candidancy!
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  stigma
   
 12. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Acha wivu wa kike wewe, wazee, vijana, wake kwa waume walifurika katika maandamano haya. Maprofesa, madaktari, wasomi, wanafunzi, darasa la saba na wasio enda shule na watu wa dini zote walihudhuria. Pale Mwanza mlemavu alirudisha kadi ya CCM pamoja na mamia wengine. Hiyo ndio nguvu ya umma kwa taarifa yako. Najua wewe ni mtumwa wa Rostam Aziz ndo maana inakuuma sana.
   
 13. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ndugu anasema "....Chadema is trying to address to its citizens how to deal with economic hardship............" huu si uongo mtupu? hata chadema wenyewe hawajawahisema kitu hii wangesema hivyo hata mie ningewasifia. Labda huyu ndugu atuambia kuadress economic hardship alikua anamaanisha nini hasa!! Wao agenda kuu ni kupinga dowans wasilipwe humo ndani wanajumlisha mambo ya epa, kagoga na mengineyo ambayo kwa uhalisia au kimsingi yapo mahakamani sasa sijui hapo wanaddreess nini kuhusu economic hardship? kuadress economic hardships ni kueleza matatizo yakiuchumi hapa nchini kuanzia chanzo, challenges and the possible (scientific) way forward in solving the problem na siyo blabla za kisiasa. Tuambiwe tuache uvivu tufanye kazi kwa bidii, tutafute mbinu mbadala za kukuza uhumi na kama uongozi ndiyo kikwazo basi watu wahamasishwe wabadilike hasa katika sanduku la kura na siyo kushabikia ya tunisia na misri pale hamna mwanasiasa anayejua kilichotokea hata hao muslim brotherhood kumbuka walijaribu kutaa na Mubarack lakini hakuna kilichoendelea.

  "...Chadema is trying to address to its citizens.." sasa hiki si ndiyo mtoa mada anachosema kuwa chadema kinatumia nguvu ya umma wa chadema na siyo umma wa watanzania?

  Ujue sisi wananchi kwakuwa tu tunashida watu wanacheza na hisia zetu mno Dowans dowans nawashukuru wanaharakati waliolipeleka hili swala mahakamani ili kujua haki lakini kwa kupenda sifa zitokanazo na hisia hata wao wenyewe wakiingia madarakani wataipata jeuri yao. Slaa ni mtu mwerevu sana anafikiria sana is bright nampongeza lakini elimu yake na akili zake asichezee hisia za watu kabisa.

  Ni kweli tanzania tuna matatizo mengi sana ya kiuongozi, ya kisiasa, kiuchumi ndiyo usiseme lakini kudress these problems does need political willing to adress them and not using politics in adressing them.
   
 14. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Kikwete hakushinda uchaguzi ila alishindishwa uchaguzi na TISS na NEC, ndo maana nguvu hiyo ya Uma inamtisha hataki hata kwenda mikoani kuwashukuru wananchi coz anajua hawakumpa kura. Ameamua kumtuma Pinda ambaye naye ameingia katika mkumbo wa kubeba wananchi kwenye malori lakini anajikuta anakosa watu wanahudhuria wafanyakazi wa serkali wanaolipwa posho. We unafikiri watu kufunga maofisi binafsi na maduka kwenda kusikiliza CDM ni kitu kidogo?? JK analijua hilo bado nyie vichwa ngumu wachache mnotumiwa.
   
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Umesema kweli, majority ya wa Tanzania hawana habari na hizi zahma wanazo-force Chadema. Lakini, ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka. Waswahili wanamsemo "usiige Tembo K**** M*** makubwa, M***** uta-pasuka! waache waendelee, muarubaini wao upo njiani.
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0

  ndugu yangu .... ukienda hospitali unafanyiwa observation, diagnosis and then treatment ...... the cause of economic hardship in this country arise from the maladministration of our government under ccm .. mikataba mibovu n.k ndivyo vinavyotu cost .... chanzo cha tatizo ni muhimu kujua kabla ya kutatua tatizo.... huwezi tenganisha DOWANS scandal na ukosekanaji wa umeme Tanzania ambao umesababisha uzalishaji mwingi kushuka na nchi kupoteza mapato ya ndani na nje .... unless you are falling blind love with your political party
   
 17. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mimi naona tueleweshane. Hii ndiyo siasa kutokana na hadhira yenyewe. Wananchi kwa mchanganyiko ule, huwezi kuwaletea econimic terms, statistics figures and/or graphs, etc etc. Wananchi wanahitaji kueleweshwa kwanini maisha yanazidi kuwa magumu, na nini halisi kimesababisha. Hivyo inampa upeo wa kuelewa nini wakishughulikie/wakidai ili kujikwamua kwenye hiyo shida. Natumaini kama viongozi/wataalamu wa CDM watakutana na wachumi kwaajili ya kushughulikia matatizo yetu ya uchumi hawatayaongea yale ya mkutanoni, sasa wataingia kwa undani zaidi. Pia napenda kukuelewesha, jinsi unavyoelewa wewe usahihi wa mambo kiundani na kiutaalam, kule vijijini na wananchi wengine wa kawaida hawajapata fursa hiyo bado. Hivi kweli wewe unataka kukataa kuwa DOWANS na affiliation zake hazijayumbisha uchumi wa nchi hii?
   
Loading...