Recent content by RUSESABAGINA

  1. R

    Nahitaji blackberry bold 9700

    Tayari nimeipata kwa mdau wa JF and the deal is closed.Thanx JF
  2. R

    Nahitaji blackberry bold 9700

    Mwenye blackberry bold 9700 mpya bei TZS 500,000 ani pm.Nipo Dar es salaam
  3. R

    Biashara ya mtandaoni

    Tunaelekea kuzuri kuwa na kampuni za wazalendo kama hii inatia moyo na kwa hakika itarahisisha mambo..
  4. R

    Nahisi Haus gel wangu ananitega

    Huyo bi mkubwa akisoma hii thread basi atakuja na hausi gel mpya na mume mpya vilevile
  5. R

    Who are these Bongo Icons???

    duh kweli kamata,amenikamata
  6. R

    Nipo njia ya panda, Japan..............dah!

    kwa sasa usifikirie swala la ajira,kabla ya kumaliza hiyo degree ya kwanza ulijua utafanya wapi kazi? sidhani kama ulijua Au kuna watu wangapi hawana kazi na wanaproffesions ambazo ni marketable kwa sasa hivi...wanazunguka tu mtaani Kapige shule na ukiweza kuwashangaza wajapan kwa perfomance...
  7. R

    Kwa hi JK hajanikuna kabisaaa......

    tusubiri vyuo vikuu vya kata sasa........
  8. R

    Raha ya mapenzi ni wakati gani?

    raha ya mapenzi ni wakati kukiwa na furaha ya pamoja kwa wapenzi wote wawili
  9. R

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Source tbc1
  10. R

    Namshukuru mungu sikusoma UDSM

    Your statement is vague Nancy,may be you should make yourself clear as to where you stand! Umesema kazi ipo ukimaanisha competition ya sisi wa UDSM inakupa wasiwasi kua mshindani inakupasa kujipanga vizuri kwanza?,katika kuchangia mawazo na mengine yanayohusu professionalism? Au" kazi...
  11. R

    Kwa Wataalam wa magari

    iyo experiment umeifanya vipi? under what conditions? ... There is no such a thing as a speed of 80km/hr could be faster than a speed of 100km/hr...whatever the types of vehicles you can talk about.
  12. R

    Natafuta Gari Saloon ya injini ndogo bei isizidi 4mil

    andaa kwanza simu yenye memory ya kutosha ya kusave number za mafundi.......
  13. R

    Nitawezaje kublock number ya simu sumbufu?

    google swali lako,utapata majibu because watumiaji wa iphone ni wengi na its likely wengine wamesha encounter tatizo kama lako
  14. R

    Reginald Mengi to British investors - "I'm not part of Silverdale Farm agreement"

    Labda mimi niulize uhasama wa mengi na manji ulianzia wapi na umekua endelevu for some years now!! Kusema ni ushindani tu wa kibiashara naona haitoshi...
  15. R

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    mchakato wa kuitafuta demokrasia ya kweli si lelemama, hongereni wabunge mlio kua na misimamo ya dhati kabisa kutetea kilichokua na maslahi kwa walio wengi .katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
Back
Top Bottom