Namshukuru mungu sikusoma UDSM

Your statement is vague Nancy,may be you should make yourself clear as to where you stand!
Umesema kazi ipo ukimaanisha competition ya sisi wa UDSM inakupa wasiwasi kua mshindani inakupasa kujipanga vizuri kwanza?,katika kuchangia mawazo na mengine yanayohusu professionalism?
Au" kazi ipo"ukimaanisha nafasi ya ajira ipo dhahiri?
Au "kazi ipo" ukimaanisha nini?

I wish to declare self interest,I am a proud graduate of UDSM(UDBS)
 
haya ex-dogo, turudi kwenye mada. aisee pelekeni malalimiko udsm. nasikia wanachakachua ukarabati wa hall 4 na 5. yatakuja kuanguka aisee!
 
kwa kuangalia haraka haraka tuu, kama watu wengi wa humu ndiyo wamesoma udsm, kweli kazi ipo huko nyumbani.

We umesoma wapi? usije ukawa unahoji UDSM kumbe we mwenyewe ni zao la TUMAINI th! th! th! kazi kwelikweli!
 
karibu sua,tukukimbize na 50% pass mark,na msuri jiwe,nashukuru kwa kumaliza sua kwani huku nilipo china ni mkimbizo tu,niliyosoma sua ni kama marudio
mungu bariki walimu wangu wa sua husani wale wa AGRO-ENGINEERING NILIPOTOKEA

MAPINDUZIIII DAIMAAAA
 
Right,

But that doesn't change the fact that UDSM is lagging horribly.

UDSM used to be the pinnacle of education in Tanzania and even the region, now it is a ghost of it's former self. So the decline in educational standards is amply demonstrated by the declining standards at and products of UDSM.

The folly of free - or near free- education is that it can work as long as that "tragedy of the commons" effect doesn't kick in, once the novelty of university education expired, we found ourselves overtaxing the same resources mindlessly and expecting a quality education, hardly realistic.

I am watching the advent of private universities with a keen eye, perhaps they will rise to the occassion and rescue our sinking ship.

I can already envision some lamenting that the private universities could be even worse and I am in a stupor of wishful thinking.

Kiranga;
Mimi niko optimistic kwamba UDSM bado inatoa high quality products mpaka leo, (unless tu awe yeye mwenyewe ni mchakachuiaji), to the extent kwamba some people (like you) envy UDSM graduates,...., a fact!
 
... pinga yale yote niliyoyasema mimi.....
... Si Nkrumah hall si lile jengo la Sociology (nakumbuka hili wakati niko dogo tulikuwaga tunaenda tunapanda lift (elevator) hadi kule juu mwishoni halafu tunauangalia mji)....
UDSM hakuna jengo la Sociology. Nkrumah ilikarabatiwa na wachina mwaka jana kwa matarajio kwamba rais wa China, Hu Jintao angedeliver public lecture pale wakati wa ziara yake.
 
wewe ulisoma wapi????????????????????rank ya chuo chako iko vipi compared to udsm???
 
UDSM hakuna jengo la Sociology. Nkrumah ilikarabatiwa na wachina mwaka jana kwa matarajio kwamba rais wa China, Hu Jintao angedeliver public lecture pale wakati wa ziara yake.

Department of Sociology iko kwenye jengo gani?
 
kwa kuangalia haraka haraka tuu, kama watu wengi wa humu ndiyo wamesoma udsm, kweli kazi ipo huko nyumbani.

Kama na wewe umesoma nje ya nchi, halafu unaandika kitu kama hiki basi ukirudi nchini itakuwa shida sana; pia huko uliko wanapata shida vile vile. Nasema hivi kwa sababu:

1. post yako ya kwanza ilibidi iwe utambulisho lakini wewe umerukia kuleta mada, tena kwenye jukwaa ambalo sio mahala pake;

2. hauna basis wala back up wala evidence yoyote ya thesis yako;

3. Unaonekana hauna uzalendo na nchi yako, ni sawa na wale ambao wanakiita Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Choo Kikuu au Chuo cha Manzese;

4. Hivi Tanzania haina vyuo vikuu vingine mbali na UDSM? Kwa nini usifanye utafiti kwa kuzingatia vigezo ulivyonavyo ili kufikia hiyo real conclusion yako badala ya kufikia the hanging one - ulikotokea hata hapaeleweki;

5. Unashindwa kuelewa kuwa mtu yoyote duniani anaweza kujiunga na community hii kwa sababu ni online na kwa uhakika zaidi ungeweza kuwaomba admin hiyo info kama rules zinakubali ili uweze kutengeneza hoja;

6. Huko ulaya na amerika na kwengineko pia kuna vyuo vya ajabu ajabu tu - mfano ni vyuo ambavyo havijawa accredited and registered; kwanza yawezekana wewe unasoma huko huku ukiogesha mizee ya kizungu au kusafisha vyombo hotelini au kusafisha vyumba vya hotelini ili upate pesa ya kujikimu na kujiona bora kuliko aliyesoma Tanzania hasa UDSM;

7. Kwanza unaijua system ya kutoa elimu UDSM? Kama ndio, je umeilinganisha kwanza na ya huko unakosoma au ulikosoma? Kama hapana, sasa unafikiaje hiyo conclusion yako?

Kwa kumalizia nafikiri shule/ chuo ulichosoma wewe ni cha ovyo au wewe mwenyewe ndio bongo lala. Naomba utuambie level yako ya elimu na ufaulu wake; halafu utuweke literary work hata moja uliyofanya kwenye taaluma yako - yaani dissertation au thesis au article yoyote uliyo-publish kwenye reputable peer reviewed international journal!!!
 
kwa kuangalia haraka haraka tuu, kama watu wengi wa humu ndiyo wamesoma udsm, kweli kazi ipo huko nyumbani.

Nakubaliana nawe kwa kiasi fulani, hata mie sipafagirii sana mlimani kutokana na ubabaishaji, jamaa wako kinadharia zaidi katika kufundisha kuliko kivitendo.
Lakini inategemea umemaliza kitivo kipi kwani baadhi ya vitivo vinatoa wachapa kazi hodari na vitivo vingine hutoa vihiyo. Naomba niongolee mifano michache inayohusu vitivo vya sayansi na injiniaring.
Nlipata kusikia kuwa kuna injinia mmoja wa umeme alikufa kwa kupigwa shot na high voltage, kisa alitumia tochi kumulika katika chanzo cha high voltage. Na haya majengo yanayoanguka wakati yakijengwa kwa mainjinia si wanatoka mlimani??? Kwa mtindo huu, kweli kazi ipo.
Mimi binafsi ni graduate wa DIT. Nlipokuwa field kipindi fulani tulikuwa na wanafunzi wa mwaka wa pili kutoka chuo kikuu fulani. Cha kushangaza wenzetu walikuwa hawajui hata kuandaa
1 Molar solution
.
 
karibu sua,tukukimbize na 50% pass mark,na msuri jiwe,nashukuru kwa kumaliza sua kwani huku nilipo china ni mkimbizo tu,niliyosoma sua ni kama marudio
mungu bariki walimu wangu wa sua husani wale wa AGRO-ENGINEERING NILIPOTOKEA

MAPINDUZIIII DAIMAAAA

FUNGUA HAPA
www.udsm.ac.tz/.../2010-5-6-16-44-53_2010%20university_rankings.pdf
 
Hicho chuo ulichosoma Nancy ni cha ngapi Afriaca na Duniani Mana kama UDSM itakua imechoka basi chuo ulichosoma kimekufa.
 
Kazi kweli kweli, ila ingekuwa vizuri mtoa mada kama angesema au angetoa sababu kwa nini anashukuru hakusoma udsm maana inawezekana mtoa mada hakijui hata chuo chenyewe labda kasimuliwa tu.
 
Nenda SUA, Choo Cha Wakulima, wanafunzi kibao madarasa kiduchu, hakuna vifaa kwenye maabara, hakuna mradi wa chuo wa maana, majengo full kuchakaa kila kitu honyo honyo, pale postgraduate ndio balaa Msc miaka minne kwa uzembe tu wa kutofuatilia research paper za wanafunzi kwa external supervisors.Najiuliza hawa wanasayansi wa karne ijayo watakuwa wa aina gani.Dada yangu si UDSM tu hata kule SUA mambo si shwari.
 
kwa kuanzia, ni engineers wangapi professional ambao ni wazawa hawajatokana na UDSM, madaktari bingwa, nyie msidhalau hapo mlimani. hakuna kitu huko Tumain and whatever, mnadhani kuandika kiingereza ni jambo la kujifunza chuoni? kwanza hata hapo UDOM more thna 70% ya walimu wao wanatoka au wanatokana na UDSM,
 
Back
Top Bottom