Biashara ya mtandaoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya mtandaoni

Discussion in 'Matangazo madogo' started by pacificamarine, Dec 2, 2010.

 1. p

  pacificamarine Member

  #1
  Dec 2, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Naomba nitangaze biashara yangu humu JAMVINI ili iwafikie wale wenye mahitaji.
  Kama unatafuta au una shida na kitu, kifaa au chombo chochote kipya au kilichotumika, tena genuine, au unatafuta spea ya aina yoyote ya gari, pikipiki kubwa au vitu vya electronics, batteries, vitabu , computer softwares, laptops, camera parts, music system parts, information, au kifaa kingine chochote ambacho huwezi kukipata hapo Tanzania, basi ijaribu PACIFICA MARINE LLC ambayo inafanya shughuli hizi tangu 2005.
  Sisi tumesajiriwa hapa Washington DC nchini Marekani na tunao mtandao mkubwa sana wa kukuwezesha kupata kitu unachohitaji tena kwa bei inayoeleweka. Unachotakiwa kufanya ni:-
  1. Kuwasiliana nasi kwa e-mail: pacificamarine@yahoo.com na kisha utueleze hitaji lako. Tutaanza mawasiliano nawe kwa kukupigia simu au e-mail ili utupe details za kitu unachotafuta.
  2. Tutakutafutia na kukupa bei ya kununulia kifaa hicho pamoja na gharama ya kukisafirisha.
  3. Tukikubaliana, tutakinunua popote kilipo ( hasa USA, Canada, Australia, Japan au UK) China haimo kwenye uwakala wetu.
  4. Tutakituma kwa agent wetu ambaye yupo hapo Haidery Plaza karibu na Posta Mpya, Dare s Salaam, Tanzania. Pia tutakupa contact zake za simu ili uanze kuwasiliana naye.
  5. Kikishafika Dar es Salaam, utakwenda ofisini kulipia na kisha kuchukua kifaa chako.
  Pamoja na shughuli hizi, tunasafirisha mizigo kwa njia ya meli kutoka USA kwenda kwenye bandari zote zilizoko Pwani ya Bahari ya Hindi, kama Djibouti, Mogadishu, Mombasa, Tanga, Dar es Salaam, Beira na Durban huko Afrika Kusini. Tunasafirisha kwa njia ya makontena na loose cargo vile vile.
  Pia kunauza tiketi za ndege kupitia kwa wakala wetu walioko Florida, USA. Hata kama unasafiri toka Mwanza kwenda Dar es salaam, unaweza kuulizia ni kiasi gani kwa return ticket nasi tutakukatia hiyo tiketi. Bei zetu ni very competitive .
  Hivi karibuni tumeanza kuuza magari toka USA na biashara inaendelea vizuri. Tunazo reference nzuri kwa watakaohitaji.
  KARIBUNI
   
 2. s

  shilanona Member

  #2
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa mimi nimewanyoshea mikono. Wanafanya biashara ya uhakika ile mbaya. Niliwaagiza wanitafutie Peachtree by Sage Accounting Software 2010.
  Huwezi kuamini, nilitafutwa kwa E-mail na baada ya mazungumzo package mpya ikatumwa hapa Dar tena kwa bei ya kutupa ya $250.00. Nikaipokea kwa agent wao aliyeko hspo Haidery Plaza. Hakuna ubabaishaji, biashara wanaijua.
  Nilitafuta Tanzania nzima, pistons za pikipiki yangu, Honda VF750 Sabre ya mwaka 1982 mpaka nikabwaga manyanga. Nilipowaagiza wao wakazitafuta na tayari wameshazituma tokea Japan tena kwa bei nzuri ya $ 95 tu.
  Siyo kwamba nawapigia debe ila penye ukweli uongo hujificha hawa pacifia kazi wanaijua.:target:
   
 3. m

  manyusi JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 273
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ok mkuu ngoja nijipange,mnaweza safirisha tipper trucks nikaja kulipia hapa?
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nataka kuagiza viatu vya kike kama pea hamsini hivi. Sandalz na high hills kwa ajili ya kuuza. Viwe vya mtumba. Mnaweza kunipa gharama zake?
   
 5. p

  pacificamarine Member

  #5
  Dec 3, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu naomba utuandikie kwenye e-mail ya kampuni kisha utueleze design yake. Tutakupigia simu kisha tutaona kama inawezekana. Umesema viatu vya kuuza tena vya mtumba, high hills na sandals. Tuandikie tafadhali.
   
 6. p

  pacificamarine Member

  #6
  Dec 3, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Manyusi, tipper hatuwezi kusafirisha ila tunaweza kukuunga na wauzaji ili uongee nao kama wanaweza kufanya hivyo.
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  poa.
   
 8. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Saafi sana nitaanza kuwasiliana nanyi ngonja nianze kudunduliza vijisenti vyangu angalau nipate vitu vilivyo boraa kabisa bila zengwe,huku bongo mchina katuletea balaa
   
 9. R

  RUSESABAGINA Member

  #9
  Dec 3, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaelekea kuzuri kuwa na kampuni za wazalendo kama hii inatia moyo na kwa hakika itarahisisha mambo..
   
 10. p

  pacificamarine Member

  #10
  Dec 4, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu sana Rusesabagina, tunazo DVDs zako kibao hapa za Hotel Rwanda (originals) kwa bei nzuri tu. Nikuletee moja?
   
 11. Yoso

  Yoso JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mimi ni mkulima mnaweza kuniletea water pump ya kimarekani kwa ajili ya umwagiliaji wa bustani nataka used
   
 12. P

  Paul S.S Verified User

  #12
  Dec 4, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Good move. Ngoja tujikusanye tutawasiliana.
  Kwa ushauri zaidi mngesajili domain name yenu badala ya kutumia yahoo.com ingekuwa powa zaidi .
  Unajua kampuni nyingi magumashi zinapenda kutumia yahoo au nyingine maarufu
   
 13. p

  pacificamarine Member

  #13
  Dec 5, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuko kwenye mchakato wa kuwa na website yetu ambapo wateja wetu hawatakuwa na taabu ya kuangalia mambo yetu. Kwa wale wooote walioomba kufanya biashara nasi hata kutokea humu jamvini tunawasiliana nao vizuri tena bila shida. Sasa kwa huyu mkuu aliyeomba kutafutiwa water pump, sijui anataka water pump ya aina gani? Namwomba atuandike kwenye mtandao wetu wa pacificamarine@yahoo.com na akiweza atupe namba za simu ili tuzungumze naye.
   
 14. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  DVDs original mnauzaje ,je zipo kwa mtu wenu wa Haidery Plaza?
   
 15. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #15
  Dec 5, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu kama mchakato wa web ni mrefu. Weka mambo ktk FB na Twitter. Me pia naomba kama una skype nirushie tuchat kuna vitabu flani navitaka huko, amazon bei yake c ya faida.
   
 16. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180


  Hapo nilipopigia mstari panatia shaka. Kampuni imesajiliwa unatumia email ya yahoo??
   
 17. p

  pacificamarine Member

  #17
  Dec 7, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba uwaeleze wana jamii shaka yao ni nini? Ni email address au ni products zetu au ni services zetu? Kama una shaka na services zetu tuambie tujirekebishe lakini kama shaka ni yahoo.com, nilishaeleza tangu mwanzo kwamba tunakua kwa kasi ya taratibu, siyo muda mrefu tutakuwa na website yetu.
   
 18. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Maadam kifaa kinaletwa Tanzania ndio unapokwenda kukichukua unalipia, sio kulipia kabla nadhani yahoo.com hainisumbui. Asante, natafuta spare ya Honda Civic VTi, nitawatafuta.
   
 19. B

  Brandon JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi natafuta used laptop ambayo ni nzuri na bei nafuu je inaweza kuwa bei gani huko?
   
 20. S

  Shilla Member

  #20
  Jan 19, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ebwana hawa jamaa mimi nimekwisha fanya noa kazi,hakuna zengwe wala hata hivyo pesa unalipa baada ya mzigo wako kufika kwa hiyo mimi binafsi sioni risk yeyote ya tu trade na hawa jamaa.
   
Loading...