Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,635
Wakuu kwa kitendo cha jeykey kumchagua Dr. Shukuru Kawambwa kuwa waziri wa elimu naona hakikuzingatia uwezo wa huyu jamaa. Kama kwenye wizara aliyokuwa nayo kipindi kilichopita tulishudia kuyumba kwa utendajikazi wake kama ile barabara ya Chalinze-segera-tanga, TRL na swala nyeti la TICTS je, kwenye elimu si itakuwa balaa. I think this man hakustahili wizara hii kwa unyeti wake kwetu.(i stand to be corrected) nawasilisha.