Recent content by roxodonta

  1. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Kwa heri wasomaji wangu mie nimeamua kujinyonga

    Promota nipo hapa.
  2. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Meseji hii ya masista du

    Wanawake huwa hawamaanishi walisemalo
  3. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Mirathi

    Mirathi lazima ifunguliwe. Kikao cha ukoo kinatakiwa kiteue msimamizi wa mirathi hiyo,muandike muhtasari. Nendeni mahakamani kufungua shauri la mirathi ambatanisha hati ya kifo na muhtasari wa kikao cha ukoo. Huo ndo ushauri wangu.
  4. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili TANAPA

    angalia website yao The official site of the Tanzania National Parks - Home
  5. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili TANAPA

    Unayesema umefanya kazi TANAPA kwa zaidi ya miaka 5.Ulikuwa katika nafasi ipi ndani ya TANAPA?
  6. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wasichana wa kazi wana nini?

    Msamehe bure kama kuna nafasi ya kurudi mfikirie
  7. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    Hiindo imekuwa staili mpya ya wezi,wanakuvamia kisha wanasema tumetumwa na chama.
  8. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Wachina Wanawinda Ndani ya Serengeti

    Acha kudanganya wewe Gesi-Mtwara,lete hiyo picha ya gari la Wachina ambalo wanafanya nalo ujangili. Vinginevyo ww mzushi mwongo na mzandiki
  9. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa aina ya bunduki ya kununua

    Nunua Glock Tembelea maduka ya Tanganyika arms.
  10. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa aina ya bunduki ya kununua

    Nunua Glock
  11. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Jamaa -'KALIWA NA FISI MDOMO ,PUA NA MASIKIO' Kisa : Pombe!!!

    Sitaki tena pombe Pumzika unapostahili Mr Ebbo,kawimbo kako kazuri sana.
  12. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Mganga,mganga,mganga.......... ...

    Aanzishe hospitali
  13. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Nimeyasikia haya... Je inawezekanaje?

    Anampotezea faili za kichwani.(nimewaza tu)
  14. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa Bernardo Mukassa katika nyimbo za Kikatoliki (RC) Tanzania

    Nyimbo za duniani ndo zikoje? Wewe unaishi mbinguni?
  15. roxodonta

    JamiiForums Tanzania Huu ni ulimbukeni au ni nini??

    Madereva wa vifodi aka daladala Arusha wana ujinga huo
Back
Top Bottom