mtalalamika sana, lakini hamtaubadilisha ukweli kamwe kuhusu utekaji muufanyao hapa nchini. damu za mliowaua zinawatafuna. kuleni matunda ya kazi ya mikono yenu
Hata hujielewi,watu wanazungumzia jinsi raslimali zetu zinavyoteketezwa wewe unasema ushindani???!!!Utakuwa mmoja wao siyo bure
Wachina walifukuzwa S.Africa na kunyimwa tenda zote baada zote baada ya kugundulika kuwa walihusika moja kwa moja na mauaji ya faru kule kruger national park,sasa sijui itakuwaje kwa hii nchi inayoongozwa na mashetani.
speechless..serikali na Tanapa wamelala usingizi wa pono
Acha kudanganya wewe Gesi-Mtwara,lete hiyo picha ya gari la Wachina ambalo wanafanya nalo ujangili.
Vinginevyo ww mzushi mwongo na mzandiki
this is getting worse
na wote hao ukiwauliza watamtaja JK kuwa ndiye aliyewaruhusu, si ajabu wala hajui tukio kama hili
Kuna habari za uhakika kwamba, kuna kundi la wachina ipatayo 8 ndani ya Serengeti wanaosaidiana na watanzania kadhaa kuwinda Faru na tembo. Majangili hao wana gari aina landrover yneye rangi ya kijani, inayofanana na ya TANAPA. Ikiwa ndani ya hifadhi, gari hilo ufunikwa na kitu ambacho kinafanana na neti, ambayo uifanya gari kuonekana kama kichaka. Wadau wanatafuta picha...tutawajuza zaidi