Ushauri wa aina ya bunduki ya kununua

Ushauri wa aina ya bunduki ya kununua

Hata ununue kila aina ya silaa watakuvamia tu. Mungu ndiyo silaha tosha,hakuna silaha nyingine zaidi ya kumuomba MUNGU.
 
Glock 26 ni nzuri sana na bei yake sio kubwa ni kama shs 2m tatizo ni namna ya kupata leseni, usifanye masikhara na leseni ukipitanjia ya halali unaweza kuchukua hata zaidi ya mwaka

Nadhani hii itanifaa sana, nafikiria kuanza kujilinda mimi binafsi....ushauri wako umekuwa wa maana sana kwangu
 
Wadau baada ya kwenda na kumaliza anger management classes, najihis niko tayari kumiliki kiguu cha kuku, ukijumlisha na hali ya nchi yetu inakokwenda, tija ya uhitaji inaongezeka.

Sasa apart from hearing from rap songs sina uelewa wa bunduki na wala ni pistol gani nzuri inapatikana hapa TZ.
300px-Charter_Arms_Bulldog_2.JPG

Nzuri kwa maana, naweza beba kirahisi, haina jams, na risasi hupatikana kirahisi.
Hio hapo juu inaitwa .44 bulldog! Lil waynes pet!
Wenye uelewa naomba ushauri.

this lil toy......Ed Brown Kobra Carry Lightweight.......cha black sasa.......kitamujeeee.......
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    4.9 KB · Views: 433
Tht 44 inatabia ya kujifungua usalama wake.so browing 9mm ni nzur sana.cha msing jipange kupata lesen maana ni ishu SANA
 
Nunua Glock 19 ambayo caliber yake ni 9mm, hautajutia baadaye.
 
Asanteni. Nafkiri glock ina preference ngoja nikawaone wataalam.
Kuhusu na kibali, wandugu mtashangaa ilivyo rahisi kupata kibali cha bunduki tena kwa njia halali. Swala ni standing yako tu katika society. Kwa Dar ni kazi kubwa lakini ukienda mikoani na uwe na mtu wa karibu anefahamika haichukui hata miezi mi4.

Personally nisingependa kumiliki hii kitu lakini mazingira yananilazimu. Naamini kama swala ingekua kumwamini Mungu tu basi hata Crusaders na Jihadist wangeishia kusali tu.
 
Wakuu kwani kati ya hizo revolver na hizo za kawaida zipi ni bora zaidi ?na kwanini zitofautiane masharti ya leseni? mwenye ujuzi anitoe porini tafadhari !!
 
Hivi Tanzania inaruhusiwa mtu binafsi kumiliki short gani?
 
siraha za kijihami/kujilinda zipo nyingi isipokuwa inategemea na uhitaji wako.wengine wanapenda kuwa na siraha za kujilinda na kuwindia pia.wengine wanapenda siraha ndogo za kujilinda tu(pistol).sasa sijuwi wewe unataka ya namna gani.ila kwa ufupi tu ni kwamba zile siraha za kuwindia ni zile zenye mtutu wa kati(medium calibre) na kama ni siraha za kujilinda ni pistol zenye mtutu mdogo(small calibre).sasa kama unataka pistol zipo nyingi tu,ambazo nazo zinatofautiana ukubwa kulingana na uwezo wa pistol yenyewe.mfano zipo za ukubwa wa mtutu wa 0.35mm hadi 9mm.hizi za 9mm zina uwezo wa kupiga umbali mrefu hadi mita 200(centre point).umbali wa kupiga inategemea na ukubwa wa calibre ya pistol hiyo.ila kwa ushauri zaidi tembelea maduka yanayouza siraha(Tanganyika arms na pale jeshini upanga)ukienda ktk maduka hayo utapata ushauri wa bure na mzuri na pia utaziona na siraha zenyewe physically na hata ukitaka special order watakuagizia tu ili mradi ufuate taratibu zote za nchi za kumiliki siraha ila revolver hairuhusiwi kwa hapa TZ.ni kwa matumizi ya jeshi tu pamoja na silencer equipmenent.

mura? nouyere?
 
Wadau baada ya kwenda na kumaliza anger management classes, najihis niko tayari kumiliki kiguu cha kuku, ukijumlisha na hali ya nchi yetu inakokwenda, tija ya uhitaji inaongezeka.

Sasa apart from hearing from rap songs sina uelewa wa bunduki na wala ni pistol gani nzuri inapatikana hapa TZ.
300px-Charter_Arms_Bulldog_2.JPG

Nzuri kwa maana, naweza beba kirahisi, haina jams, na risasi hupatikana kirahisi.
Hio hapo juu inaitwa .44 bulldog! Lil waynes pet!
Wenye uelewa naomba ushauri.
Ask Tunda Pori
 
Nunua pachacha.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ask Tunda Pori

Huyu ndugu yangu nimeshamshauri anunue GLOCK 19, ni size nzuri na risasi za 9mm zinapatikana kwa urahisi.

"Glock is AK 47 of pistols"

Glock 19 ni Compact size, Glock 17 Standard size ( but too big to conceal), Glock 26 Subcompact (but too small to grip).

Glock inavumilia sana extreme weather conditions. Narudia hautajutia. Tegemea bei kuwa zaidi ya 2,500,000 TSh.
 
Back
Top Bottom