Meseji hii ya masista du

Meseji hii ya masista du

Nashangaa mie sijawahi ona mwanaume anayesusa.

umeona eee mie wangu namwaga kila cku na mitusi juu.
Hajawahi kususa hata cku moja.
Tena ananiambiaga nimemic msg zako za kunimwaga life goes on.
Ndo tulivo jamani mtusamehe na mjifunze kuishi na sisi.
 
Mwanaume hasusi hata siku moja. Akijipendekeza mkwangue, msimamo pale pale.
Sio kususa, yani kwamba ukiwa mwanaume unatakiwa uwe na ratiba zako na mambo yako, sio unapelekeshwa tu kisa K.
 
Umenikumbusha mbali, nilikuwa na duu mmoja wakati wa ujana wangu, alishanichosha nikawa natafuta namna ya kummwaga. Sasa si alaniletea hizo! Nikapiga chini mazima,
 
alafu mwajua nyie vijana saa nyingine mnawalaumu wanawake bure tuuu....haya mambo yote sii yapo mikononi mwako. tena sie wanaume tumependelewa sana unachagua mwenyewe demu gani wakuwa na mahusiano nae, unlike ladies mpaka watongozwe. sasa first of all know what u want in a lady na ndio utaweza kupata mwanamke unaeendana nae. sasa kama wewe upo kama mzabzab i.e kugegeda basi wee jichukulie demu gonga then sepa. wanawake wapo wa aina nyingi kitabia so wewe ni uchaguzi wako...dnt blame her ndivyo alivyo na huwe mbadilisha. poor judgement yako ndio imekuingiza huko.
Hata katika kutenda mabaya pia busara hutumika,umesema vema mkuu!
 
Back
Top Bottom