Recent content by robert sendabishaka

  1. robert sendabishaka

    JamiiForums Tanzania Nauza saa yangu ya Tommy Hilfiger Aiden Multifunction Watch

    bila kusahau ASAHI
  2. robert sendabishaka

    JamiiForums Tanzania Mgahawa wangu mambo yalikuwa mazuri, ghafla imedoda, nifanye nini biashara irejee kwenye mstari?

    muhimu kwa sisi 'maafisa shibe' ni USAFI. hakuna atakayevumilia uchafu wa vyombo, mabaki, mhudumu na vyombo. pia joto la chakula. wali mwingi katika migahawa utadhani kiporo cha siku 2. mwisho; sehemu nyingi biashara zimedoda, sio tu chakula. jipe moyo
  3. robert sendabishaka

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa Roho ni nini ?

    kwa wazito kidogo kuelewa: ULIMWENGU WA ROHO=STUDIO ZA ITV MIKOCHENI ULIMWENGU WA NYAMA= TELEVISHENI YAKO NYUMBANI ufafanuzi studio ndiko hufanyika kila mipango ya mtazamaji/msikilizaji aone nini, asikie nini. mipango kuanzia mtangazaji avae nini, aanza kusoma habari gani, ichukue muda gani...
  4. robert sendabishaka

    JamiiForums Tanzania Rob Reiner mkurugenzi na muandaaji wa filamu maarufu hollywood ambaye ni Myahudi auawa kinyama na mkewe

    sio wa kwanza huyu, orodha ni ndefu tangu Delira wa Samson, Rwandanagere n.k. aoumzikr
  5. robert sendabishaka

    JamiiForums Tanzania Sanamu la mchezaji messi lazinduliwa kolkata

    sio Mbape enzi za kombe la dunia
  6. robert sendabishaka

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hujawahi kusikia kuhusu wenza wao wa maisha

    orodha........ watu....... kanuni ya haya maneno hujaizingatia
  7. robert sendabishaka

    JamiiForums Tanzania PUTIN na TRUMP wakutana jijini Alaska kuzungumzia mambo mbalimbali ikiwemo vita ya Ukrein

    hakika hawa ni wababe. simba na chui huwezi kukuta wanagombana
  8. robert sendabishaka

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta mtu anifundishe pikipiki nitachangia hela ya mafuta

    hospital tena, labda wosia, aandae na jeneza-sanda asitusumbue na bukunuku za mtaa. hili.howo la mnyaru lilimla kichwa kijana wetu
  9. robert sendabishaka

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    geat! kuna ya dunia na mahusiano
  10. robert sendabishaka

    JamiiForums Tanzania Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

    omba verification kwa mods angalau uongeze uaminifu. hii itatusaidia wengi; NIDA na simu sio hoja kwa sasa. nilishapeleka kesi ya utapeli kituo x, nikajbiwa mtaalam wa cyber yuko likizo.
  11. robert sendabishaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti, ukiwa na dalili hizi the jiandae kuwa single mother

    kwa maoni haya, tatizo ni kubwa kuliko linavyodhaniwa
  12. robert sendabishaka

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi alipa deni lote la umeme walionunua TANESCO. Wajipanga kuzalisha Umeme wa jua

    hongera, tanesco fuko limejaa sasa. tupunguzieni mgawo na ukataji usio na ulazima
Back
Top Bottom