60,000 yenyewe parefu Sana, mm nilikuta saa inauzwa 5,000 nikasusa nikamwambia muuzaji Saa ntaangalia kupitia simu yanguWeka sifa zake kidogo, elimisha wateja wako ndugu...watu wajue inatofauti gani na saa za 60,000/=
Inawezekana jamaa n mfanyabiashara hvy anafanya design ya Matangazo yake mwnywBado haujaweka saa yako hiyo uliyoweka umeitoa gugo,pandisha hapa saa unayoiuza wewe achana na hizo za ku-download.
Labda,maana ukisoma heading ni kama anauza saa yake aliyokuwa anaitumia so mnunuzi angetegemea kuona picha ameivaa au mazingira ya pic yawe ya kikawaida siyo kama hivi picha za Google.Inawezekana jamaa n mfanyabiashara hvy anafanya design ya Matangazo yake mwnyw
Kwamba una mashaka na bidhaa utakutana na mzigo mikanda imechakaa 😂Labda,maana ukisoma heading ni kama anauza saa yake aliyokuwa anaitumia so mnunuzi angetegemea kuona picha ameivaa au mazingira ya pic yawe ya kikawaida siyo kama hivi picha za Google.