Recent content by rip faza_nelly

 1. rip faza_nelly

  Dkt. Bashiru Ally anafanya mikutano ya hadhara kama nani ?

  Kuna baba wa family na baba mwenye nyumba. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. rip faza_nelly

  Kero za barabarani baada ya Kangi Lugola kutumbuliwa

  Uonezi upi? Sent using Jamii Forums mobile app
 3. rip faza_nelly

  Kero za barabarani baada ya Kangi Lugola kutumbuliwa

  Ndio maana yake bob Sent using Jamii Forums mobile app
 4. rip faza_nelly

  Kero za barabarani baada ya Kangi Lugola kutumbuliwa

  Hii post yako akiiona dereva wa lori anayetegemea mizigo ya mishemishe njiani kujiongezea kipato atakuona mchawi tuu mana watabanwa kila kona. Mfaidika wa hizo rushwa ndogo ndogo nazan ni dereva mwenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. rip faza_nelly

  Kero za barabarani baada ya Kangi Lugola kutumbuliwa

  Hao kitengo special wao hawahitaji hela! Sent using Jamii Forums mobile app
 6. rip faza_nelly

  Kero za barabarani baada ya Kangi Lugola kutumbuliwa

  Lipa faini Kama hutaki kutoa kitu kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
 7. rip faza_nelly

  Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

  Kama naona reaction ya mkewe baada ya kuona hii punch imetua ilipotakiwa kutua Sent using Jamii Forums mobile app
 8. rip faza_nelly

  DULLY SYKES most featured artist in Bongo Flavour

  True man, ingawa G nako anaweza kuja kumzidi baadae huko Sent using Jamii Forums mobile app
 9. rip faza_nelly

  Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

  Hivi bado mmekazana kuuliza maswali tu! Sent using Jamii Forums mobile app
 10. rip faza_nelly

  Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

  That's my nigga Sent using Jamii Forums mobile app
 11. rip faza_nelly

  Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

  Sijui wanatumia dawa gani kuhifadhi yasiharibike, ila tafuta na ile mifuko maalum ya kuhifadhia mazao, achana na hiyo ya kubebea Sent using Jamii Forums mobile app
 12. rip faza_nelly

  Bifu kati ya 50 Cent na Rick Ross.

  Anamwambia 'I'm 45 but m still outselling you' haahaa Em ni shida Sent using Jamii Forums mobile app
 13. rip faza_nelly

  Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

  Kama Cuf ilivyopoteza umaarufu na mvuto, ni suala la muda tu ila chadema inaelekea huko huko tena kwa speed kubwa like shaaaaa! Uchaguzi wa mwaka huu ndo utaimaliza kabsa chagadema Sent using Jamii Forums mobile app
 14. rip faza_nelly

  Bifu kati ya 50 Cent na Rick Ross.

  Em ni untouchable Sent using Jamii Forums mobile app
 15. rip faza_nelly

  MITO INAYOLISHA STIGLERS, WAKULIMA KIDOGO CHANGAMOTO

  Pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
Top