Mara ACT marà narudi, mara si kosa kuhabarisha umma kinachoendelea mahakamani, mara nimenyimwa dhamana .....talalila nyingiiiii....Na anajitahidi kuweka imani aaminike,
System inaweza kukufunga hata gerezani miaka kadhaa uchunguze mtu fulan mfungwa au tukio fulan ndani,
Na ika ku harass sana huku nyuma ya mlango ikikupoza kiaina,
Wanaoona karibu wakakuamini na kukuweka kwenye Taasisi zao ,
Au mwanachama anayesumbua akahama chama tawala akaenda Upinzani, naye system ikasema nenda mchunguze, jiunge gombea ubunge huko huko
Suspect anyone trust no body
Britanicca