Likes zipo nyingi,ila kwenye app unaziona mwisho 5 tu, mfano hii post yako ina likes 17, utaziona ukiingia kupitia browser ial kupitia app utaziona 5 tu
Kwa masikitiko makubwa kabisa nachukua fursa hii kuwatangazia Members wote wa JF kuwa kuna member mwenzetu kwa ID user name ya Njee, amefariki leo alfajiri baada ya kupatwa na mstuko wa Moyo!
Kupata profile yake tembelea - Njee (Senior Member)
Njee alijiunga Jamiiforums Disemba 28, 2012 na...
Siasa za Kenya ni nzuri sana kuangalia maana ule mwamko ulioko kule na watu wanavyo-cross from one party to another na hizi secret meetings ambazo leo wanaalikana kesho wanakanusha na ile hama vyama morning yuko chama hiki jioni ashahama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.