Recent content by raylin

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

    Hiko ndio ninacho nishangaza na mm na mara nyingi najiuliza hvyo yan 😃
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

    Safi sana mkuu, NCP 61 si ile 1490 lakin ni inavuta miguu ya mbele peke yake?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

    Kwahyo bado unayo? Tupe siri bas 😃😃😃
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

    Kwa miliki wa IST ni kitu gani kinakufanya uipende hiyo gari, tupeni siri jamani 😃
  5. R

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa magari, nichukue gari gani kati ya Toyota IST, Rush, Ractis, Raum au Spacio?

    Kama sio mzoef kwenye magari achana na CVT utalia kilio cha mbwa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Shilingi Milioni 30 taslimu ukiwa una Uwanja ukikomaa huwezi Kujenga nyumba yako ndogo tu nzuri ya vyumba vitatu na iliyokamilika kila kitu?

    Una milion 30 unaogopa kujenga😂, sema tu ukweli wewe hiyo pesa huna bwana 😂 😂 😂 😂
  7. R

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester XT Model For Sale

    Fanya hvyo mkuu maana nataka kujilipua
  8. R

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester XT Model For Sale

    Tuletee uzi sasa kama ule wa rumion 😃
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sasa tamisemi ukiachana na basic salary ya tgs na tgts kuna nn kingine? Utajilinganisha na mtu anayepata meal allowance na risk allowance? Hapo bado hajasafiri
Back
Top Bottom