Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,180
- 124,849
Sifa za hiyo position unayoitakaMfano vigezo gani Mkuu?
Sifa za hiyo position unayoitakaMfano vigezo gani Mkuu?
Siko huko mkuu nilitoa mfanoSasa kaka kwanini uhame taasisi nzuri kama hiyo aisee kwa ninavyojua mimi watu wanaotamani kuhama ni waalimu hizi taasisi zingine labda kupandishwa madaraja na majukumu tu mfano kana ulikuwa mhasibu wa wilaya unapelekwa TRA headquarter
Ulitaka niwaze simba na yanga?TPA hamtumii ESS? Au kijana hajapata hata ajira anawaza kubadili taasisi.