Nataka kununua gari

Nataka kununua gari

Faru01

Member
Joined
Jun 29, 2022
Posts
88
Reaction score
291
Wakuu poleni na majukumu. Hapa nilipo najiona muda sio mrefu kuanzia saivi hadi miaka mitano ijayo nitaanza kumiliki fedha zingi yaani vibunda vya kutosha.

Naombeni ushauri gari gani la kuanza nalo kutafuta uzoefu wa road kati ya CROWN ATHLETES au SUBARU FORESTER XT.
 
Baada ya maika mitano ndio uwaze kununua gari, ukisahakuwa na vibunda.
 
Wakuu poleni na majukumu. Hapa nilipo najiona muda sio mrefu kuanzia saivi hadi miaka mitano ijayo nitaanza kumiliki fedha zingi yaani vibunda vya kutosha.

Naombeni ushauri gari gani la kuanza nalo kutafuta uzoefu wa road kati ya CROWN ATHLETES au SUBARU FORESTER XT.
Tupe mrejesho ulichukua ipi hapo? Kamq XT ndio nataka experience yako kwenye kila kitu hasa namna ya kutunza turbo
 
Back
Top Bottom