realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,359
- 18,766
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Na kwa mjibu wa muanzisha thread ni kwamba unamiliki taka taka na sio gari
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Na kwa mjibu wa muanzisha thread ni kwamba unamiliki taka taka na sio gari
JF imejaa akina bill gatesUlimwwmgu wa jf ni mwingine kabisa!!
๐๐ Muanzisha mada anataka ukae humu๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Akikaa yeye inatosha sana ๐ ๐ ๐ ๐๐๐ Muanzisha mada anataka ukae humuView attachment 3624291
Aisee mbona anatumia nguvu kubwa kuongea na mwendawazimu....hizi ni mada za kuchangamsha jukwaa Tu haina uhalisiaMkuu gari ulizotaja zina matoleo ya zamani na haya mapya hapo haujaonyesha hizo gari ulizoendesha ni za model gani..
Maana karibu hizo gari nyingi wametoa model za miaka ya karibuni pia je uliweza kuendesha Mazda ya 2018 kuja miaka ya karibuni au jiwe la Nissan Patrol la 2018 pia kuja mbele ili nione hiyo hoja yako kama ina mashiko mkuu ay.
Chuma kama hii imenyooka alafu anakuja MTU na njaa zake anasema watanzania wanaendesha takataka.PureView zeiss njoo utoe takataka yako hapa parking. View attachment 3624616
Luxury kama gari ipi, na umeendesha crown gani ya mwaka gan yenye old techWiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu
Toyota crown
Ist
Raum
Harrier
Rav 4
Honda Cr
Mazda CX-5
Toyota Fortuner
Kia
Hyundai Santa Fe
Toyota Prado
Nissan patrol
Gari hizi sio
Luxury
Old technology
Bad interior design
Wakati Dunia ya sasa inataka gari nzuri zenye sifa
Luxury interior design
Advance technology
Performance
Safety
Kuna Mazda Cx 9 tena ni za 2019 na 2020 kwa sasa nadhan kuna model yajuu zaid au improvedkwahyo mazda cx 5 ni old model bac tutajie new model na advance technology
Ungeweka na Miaka Mkuu,ya hizo gari ulizoendeshaWiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu
Toyota crown
Ist
Raum
Harrier
Rav 4
Honda Cr
Mazda CX-5
Toyota Fortuner
Kia
Hyundai Santa Fe
Toyota Prado
Nissan patrol
Gari hizi sio
Luxury
Old technology
Bad interior design
Wakati Dunia ya sasa inataka gari nzuri zenye sifa
Luxury interior design
Advance technology
Performance
Safety
Angeweka na miaka ili tujue toleo la mwaka ganikwahyo mazda cx 5 ni old model bac tutajie new model na advance technology
Me nimewaza hivohivo aweke na miaka tuoneMkuu gari ulizotaja zina matoleo ya zamani na haya mapya hapo haujaonyesha hizo gari ulizoendesha ni za model gani..
Maana karibu hizo gari nyingi wametoa model za miaka ya karibuni pia je uliweza kuendesha Mazda ya 2018 kuja miaka ya karibuni au jiwe la Nissan Patrol la 2018 pia kuja mbele ili nione hiyo hoja yako kama ina mashiko mkuu ay.
๐คฃ๐คฃ๐คฃHizo gari zote umezijaribu ndani ya wiki?