Recent content by Raykidd

  1. Raykidd

    Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

    sio ujanja kama wanadada vyuoni wanasoma mchana kisha wanafanya uchangudoa jioni then wana act as a virgin in the morn@raykidd
  2. Raykidd

    ELimu na maisha halisi waionaje

    kiukweli kwa mtu yoyote msomi au mtu yoyote ambae yupo mtaani yawezekana akawa anajua hili?? kwangu mimi naona Elimu yetu TZ haimuandai kijana kuja kutegemea taaluma yake kumkuzia kipato bila kuajiliwa na asasi yoyote so life is about how u use ur mind just cheki mtu ana PHd ya business may be...
  3. Raykidd

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    pamoja kaka tutakutafuta maana mepitia published books na kutembelea maeneo baadhi kikubwa si vibaya ukatoe elimu kidogo ili kila mtu awe na mwanga ni hayo tu mkuu
  4. Raykidd

    Matokeo ya bachelor degree 2017/2018 yanatoka lini?

    MPAKA time hii kwa degee bado ila diploma vyuo vingi kama kcmc jana memchekia janja wangu even though kwa afya competition balaaaaa@raykidd
  5. Raykidd

    Usirogwe Kujiunga na Kifurushi cha Airtel. Utajuta kupoteza pesa mbayo ungempa Maskini angekuombea Kheri.

    Daah pole kwa usumbufu ulioupata ila jua hii ni organization b4 huja release kwa public ilibidi uone surervisor whose dealing with kwa tulio mikoani airtel ipo pouwa sana do investivation to other users am raykidd
  6. Raykidd

    Tatizo lolote la PC/device

    hello wadau hii tuafanye na tupeane ushauri amabao kila mmoja ataelewa usifikiria ku benefit financial just tu share ya ujuzi miiii sana nipo kwenye matter bout PC
  7. Raykidd

    Tatizo lolote la PC/device

    itasidia sana hii just tusiwe wachoyo real tuwe active
  8. Raykidd

    Sababu ya Tanzania kuwa nyuma kutengeneza software games

    real frm what u say let move away frm concentrate on de problem nw let check on de solution @ mi naona just ni kuanzisha union na kufanya vitu vinavyoonekana katika jamii hata kuwa granted inakuwa easy
  9. Raykidd

    Muda wa mwisho wa kuwasilisha maombi ya mikopo sasa ni Septemba 11 badala ya Septemba 4

    ni fursa kubwa na adhim ambayo bodi ya mikopo wameitoa kwa vijana wote wanaendelea na masomo kwa ngazi ya degree tarehe ya mwisho ilikuwa ni sept 4 lakini wamee extend time mpaka tarehe 11 sept kweeli wamesaidia wengi maaana uhakiki wa vyeti umiza kichwa yaaani @ for more info peruziii kwa...
  10. Raykidd

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    asome anachokipendaaa sio kumchaguliwa advance mtu mzimaaaaaaaaaaaa
  11. Raykidd

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    asante mama yetu kwa kulijua maana lilikuwa kimya kiasi cha kutaka kusahaulika maisha tunayoishi anajua mola tumeunga ndo tupo hapa mwaka wa kwanza umeisha hatujui hatujui hatima yetu kuendelea mwaka wa pili wengi wetuuu asanteeeeeee
  12. Raykidd

    Huja kijua Kingereza...bado.

    daaah ni shidaaa hamna comment kama umepost one minute ago ngoja niformulate maneno kwanza naja
  13. Raykidd

    Walinzi wa Chriss Brown ndio waliomzimia microphone Ali Kiba

    tatizo ni la waandaaji sababu wenzetu from abroad wanazingatia sana kitu kinachoitwa mdaa we angalia toka mwanzo system ya kuita msanii ili aperfom utafikiri walikuwa wanafanya suprise sema uzuri kibba hata angepiga nyimbo moja nusu mkwanja upo palepale wengine hata single coin tukibishana...
  14. Raykidd

    Biashara ya simu kariakoo

    kwa kuwa sisi wengine bado hatuja engage katika biashara hiyo ila tuna elimu ya bussiness, before u decided to establish any kind of bussiness vitu ulivyo hapo taja juu kama maswali ni muhimu kujua ila kikubwa hapo ni kujenga friendship na watu wenye maduka ya simu hapo eneo unalotaka kama...
Back
Top Bottom