Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Nimechunguza na kufatilia sana hi ishu kwamba kwanini nchin kama Kenya wapo mbele kwenye haya abmo ya kutengeneza games na softwares nikagundua kwamba asili ya wabongo nayo inachanhia.
KUJIFANYA KUJUA KILA KITU - Wabongo wengi ni very arrogant, Yani akijua tu php basi anajiona gwiji na akijua vi command vichahce vya command prompt anaweza kukaa mbele yenu kabisa akiingiza command za color 1 na tree ili mradi ajione ye mtaalamu, Wengi nii arrogant na wanataka kufanya kila kitu wao,
HAKUNA USHIRIKIANO - It seems watu huwa wako bize kumeza makodi tu wakidhani wakijua codes wataweza kutengeneza kila kitu wenyewe, vlc player tu intengenezwa na watu mia na ushehe, sasa ndugu zetu wanawaza kutengeneza games kali kivyao vyao😉😉, that is absurd, umoja ni nguvu na umoja ndio unaleta kitu kizuri, ebu just imagibne mtu anataka kutengeneza game, kwenye animation anataka kuchora na ku animate yeye peke yake bila ku invlove wengine then analalamika kutengeneza game ni ngumu, Sharing means caring, kugawana kazi ni kuzuri maana kila mtu aliebobea kitu fulani akikifanya kwa weledi then mkaja kuvimix kazi inapendeza sana kuliko kujifanya much know na kulazimisha kufanya kila kitu.
UCHOYO - Mtu kashusha cracked software ila anataka kummuzia mwengine kwa bei pasua kichwa, Hiyo software kwa mfano ni photo shop ukimpiga mwenzako bei mbaya ujue kuna uwezekano mkubwa ukazizima ndoto za huyo mlengwa ambaye mbeleni pengine angekuwa gwiji katika sekta ya hiyo software na kutupiga tuff kimtindo watz duniani.
SERIKALI HAIIPI ATTENTION HAUYA MAMBO -Presentation za project za computer science zikifanyika vyuoni mwanafunzi akipewa A yake basi ndo kwishney, kazi imeisha, This is sad, Ilibidi serikali iweke utaratibu kwamba kaila mwaka top 3 projects ziwe funded na TCRA ili ziweze kudumu kama wenzetu nchi za nje.
TUNAPENDA KUTENGENEZEWA NA MATAIFA MENGINE - Mbongo akishajua kwamba fiverr.com kuna wazungu wanatengeneza appa yaani hua hataki kabisa habari ya kumtafuta mbongo mwenzie amtangenezee app, Huku ni kuo kuamiana na ina tu cost sana.
will continue............